Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #381
Naam jua ni kali, kelele kibaoHahahaha xaiv mnaxukuma maisha Kwa joto la dar
Ila watu bdo wanakomaa humohumo.Naam jua ni kali, kelele kibao
NaamIla watu bdo wanakomaa humohumo.
Kwa hili jua la Dar Hilo shati lazima lingefubaa TuπAisee ndugu zangu mni samehe, nili hisi nime pata mchongo.
Bado niko stendi Wanangu, nime vaa shati jeupe ila kutokana na kufubaa liko Kama jekundu.
Site kaka, saidia fundi nilikua nahamisha tofali walizonunua UWABATA kwa hela waliyoibadilisha matumizi ya kuhonga πRasii Half american where are my friend
Anhaa ko uli kuwa una wasaidia mafundi, kushusha tiles kwakoππSite kaka, saidia fundi nilikua nahamisha tofali walizonunua UWABATA kwa hela waliyoibadilisha matumizi ya kuhonga π
Na lime chok kudadadeki ππKwa hili jua la Dar Hilo shati lazima lingefubaa Tuπ
Nimesha rudi nanjilinji mkuuUnga safari urudishe Mpira kwa golikipa uanze upya maana huna jinsi
JichanganyeAnhaa ko uli kuwa una wasaidia mafundi, kushusha tiles kwakoππ
Niji chanbganye kuja kushusha tiles auππJichanganye
Tiles ni za kujengea makaburi ya waliojichanganya wakaishia kupostiwa na mishumaa na kinjiwa cheupe kilichobeba jani πNiji chanbganye kuja kushusha tiles auππ
Angalia uta pasuka π πTiles ni za kujengea makaburi ya waliojichanganya wakaishia kupostiwa na mishumaa na kinjiwa cheupe kilichobeba jani π
NeverAngalia uta pasuka π π
Wewe jina lako ni nusu albino, sio never tigereππNever