Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Aisee kumbe huu mji ni wa kukaa kikamanda, japo naona Wana lazimisha wani pokee vitu vyangu.
🤣 usijichanganye ukawapa watu hela ya kula , huo mji ni hatari ukiuliza uelekezwe njia tu unaliipia, kwa mama ntilie maji unanunua , maziwa fresh ni kipengele wanaozungusha mitaani ujue yamejazwa maji , ndizi moja jero sasa ni mji jehannam hiyo?
 
Back
Top Bottom