Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Nilichojifunza mtu akitoka mikoani akaenda kuishi dar kisha akarudi mkoa alipotoka kwanza anakuwa na sifa hizi

1. Wajuaji sana
2. Waongeaji sana
3. Matapeli

Huwa mnawapa nini vijana huko dsm?
Siku moja nilikamatwa na askari hapo mkoani enzi za JPM ukiuza dai risiti ukinunua dai risiti.

Kachero mmoja na macheni na Yale majezi makubwa ya 04.

Akaniletea upolisi wa FEUDAL MODEL OF PRODUCTION 😊😅 Tukatoleana uvivu..unajua MIMI SHERIA SHERIA NAZIJUA JUA so inakua ngumu kuniswaga swaga Kama Ng'ombe sijafanya jinai Wala kukataa kutoa ushirikiano.

Akaniita we kichaa Nini..nikamjibu inamaana muda wote unaongea na kichaa na unategemea akupe/ upate majibu sahihi 😅😅 nikamwambia ikiwezekana nipeleke kituoni ukanifunge kifungo Cha Maisha.

Akaja kwa hasira gafla purukushani mikono yangu ukapigwa pingu akanisukuma..NIKAMWAMBIA BROTHER ACHA UPOLISI WA KIZAMANI NA TUSISUKUMANE FUNGUA HIZI PINGU TWENDE KITUONI.

BABA AKO NI MKUU WA MKOA MPIGIE SIMU AJE KUNIPIGA MAKOFI NIMEMKAMATA KIJANA WAKE..Akasema wewe KIJANA unajiamini Sana sijapata kuona.

Mzee akafika wakazungumza akasema huyu KIJANA wangu kutoka DAR 😊😅 Afande akafurahi Sana akasema vijana wa dar yaani ni shida.

Tukaenda dawati la usuruishi Mimi na afande tukashikana mikono... akasema tusiwekeane vinyongo tukatoka kituoni na mzee kuelekea nyumbani
 
Nilichojifunza mtu akitoka mikoani akaenda kuishi dar kisha akarudi mkoa alipotoka kwanza anakuwa na sifa hizi

1. Wajuaji sana
2. Waongeaji sana
3. Matapeli

Huwa mnawapa nini vijana huko dsm?
Aisee kumbe huu mji ni wa kukaa kikamanda, japo naona Wana lazimisha wani pokee vitu vyangu.
 
Weka namba uchangiwe nauli ya kurudi kwenu Jobless wa Mchongo
Kaka mimi sio jobless, mimi ni raisi wa chama Cha ma jobless pro max.

Raisi wa chama Cha ma jobless pro max ni Intelligent businessman.
makamu wake ni Bolotoba.

katibu wa ma jobless ni min -me, mratibu wa mipango ni Edo kissy.

Wakili wa ma jobless ni Selikavu
waziri wa mambo ya ndani ni Thecoder, na msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora.

Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
OIG4 (7).jpeg
 
Back
Top Bottom