Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Jaja nina mizigo ya mbuzi, jogoo1 mihogo gunia 1 na unga wa dona maana mi siwezi kula chips yai

Si uje uni fate hapa, maana mizigo mingi.
Kwangu sina mabanda, naishi ghetto tu, cha msingi uza mbuzi upate hela ya nauli, hiyo mihogo itandaze hapo mbezi uza kwa mafungu, kidoogo hilo dona linaweza kusaidia na hilo jogoo tutachinja tumtafune leo leo.
 
Aisee nime kumanya, kumbe una pigia hesabu unga wangu wa dona?.

basi bora nibaki stendi arifu
 
Waoooohhh, Asante sana boss nikiwa tu tayari nakushtua
Mpaji mungu anamiliki TRANSPORTER AGENT a.k.a CARGO
IPO ILALA HAPA... Namshaur akutumie nauli na ya kutolea
Hapo atakuja kumbuka ule wimbo wa zuchu_siji 😅😅
 
Back
Top Bottom