Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Bro huu sio utu wala uungwana kabisa, hata Kama ni unyama huu sio wa Dunia hii.

nakumbuka ni wewe ndio uli nishauri nitoke kwetu nanjilinji, ili nije kukutembelea huko daslam.

Kila tuki piga story una nichana eti nanjilinji sio pazuri, eti mi binadamu nakubali vipi kukimbizana na nyani shambani.

Nika sema isiwe kesi, jana usiku nika kujulisha kuwa bro kesho juma tatu naanza safari.

Ukasema niondoe wasiwasi, eti tuko pamoja na tayari ume andaa kuku wa chalinze.

Cha kushangaza nime fika stendi ya magufuli hapa, una niambia nimu ulizie rasi?.

Kila ninaye muuliza ana ishia kuni tazama na kucheka, Eti wana mjua rasi Simba tu.

Bro Half american ndugu yako bado niko stendi ujue.
View attachment 3248012
Chukua mbuzi simamisha juu ya meza uza, jogoo mfanye kipaza sauti mtikisetikise usikike 😅😅

Uje kuwa motivesheni ulianzia stendi dar huijui na ukatoboa una mtaji wa B 1 sasa 😄😄
 
Hivi huwa ni kwanini au inategemea na moyo wa mtu! Mimi SIKUWAHI kumkimbia mtu nilipokuwa naishi daressalam
Nadhani kwa sababu watu wa Dar es Salaam huwa tuna matambo tukienda mkoa tunakuwa tumejiandaa na tuna brag tumepatiia maisha. Sasa wana wakija tunaogopa watajua ukweli kuwa ni pwagu pwaguzi pangu pakavu
 
Chukua mbuzi simamisha juu ya meza uza, jogoo mfanye kipaza sauti mtikisetikise usikike 😅😅

Uje kuwa motivesheni ulianzia stendi dar huijui na ukatoboa una mtaji wa B 1 sasa 😄😄
Asante Kwa ushauri, ila ngoja kwanza wani katae Kama yesu
 
Bro huu sio utu wala uungwana kabisa, hata Kama ni unyama huu sio wa Dunia hii.

nakumbuka ni wewe ndio uli nishauri nitoke kwetu nanjilinji, ili nije kukutembelea huko daslam.

Kila tuki piga story una nichana eti nanjilinji sio pazuri, eti mi binadamu nakubali vipi kukimbizana na nyani shambani.

Nika sema isiwe kesi, jana usiku nika kujulisha kuwa bro kesho juma tatu naanza safari.

Ukasema niondoe wasiwasi, eti tuko pamoja na tayari ume andaa kuku wa chalinze.

Cha kushangaza nime fika stendi ya magufuli hapa, una niambia nimu ulizie rasi?.

Kila ninaye muuliza ana ishia kuni tazama na kucheka, Eti wana mjua rasi Simba tu.

Bro Half american ndugu yako bado niko stendi ujue.
View attachment 3248012
Cha kushangaza nime fika stendi ya magufuli hapa, una niambia nimu ulizie rasi?.😂😂😂
 
Back
Top Bottom