Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
min -me Nimekucheck pm mwezi iliopita kuwa natafuta ajira. Unanihakikishia kabisa utani connectia na supermarket yenu ya familia iitwayo "Minimal Price" iliopo mwenge. Ukaniambia hata nikishafika mwenge hio sehemu ni maarufu sana hata wasanii wakubwa kama harmorapa wananunua bidhaa hapo.
Nafunga safari nikatoka kwetu napimbi, katika ya safari tuliongea vizuri ,muda ulivyozidi kwenda ukasema mara network inasumbua kufika stendi ya magu hupokei simu.
Nikachukua nauli , dala nikaunga hadi hadi mwenge, kuulizia minimal supermarket kila mtu ananiona bwege, wananiambua kitu maarufu hapa ni soko la vinyago na ITV.
Hadi sasa mwana hapokei simu ila JF analike tu nyuzi za wa tu
Niko hapa hii stendi mpya niko apeche alolo mwana JF yoyote alie vizuri anisaidie nirudi home.