Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Acheni hizi porojo zenu mbona tunawaona watoto wengi tu wanawa appreciate baba zao na kusema hawataki hata kuwaona mama zao maana waliwatelekeza, shida hizi cases siyo nyingi na hamzisikii sana sababu ni wababa wachache wanaotelekezewa watoto na kukubali kuhangaika nao kama hivyo, huwezi linganisha na idadi ya wamama wanaotelekezewa watoto ndio maana cases za watoto kuwa appreciate mama zao ndio ziko nyingi na ndio zinaonekana sanaHapo mtoto akikua anaanza kuweka status za "my mum my everything"