Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

genius mvivu

Senior Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
156
Reaction score
275
Habari ndugu wana JF,

Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.

Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.

Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.

Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
 
Toa maelezo ya kutosha na picha. Usipoweza kutoa maelezo kwa haraka uzi utafutwa.

Jitahidi unapotoa hoja zenye tuhuma basi uweke maelezo yasiyotiliwa shaka ili vyombo husika vifuatilie na kutoa maelezo.

Maisha ya watu siyo ya kuchezea. Na huenda kuna makundi ya itikadi mbaya yaliyomteka. Sasa unapotoa tuhuma kwa usalama wa taifa bila maelezo na viashiria vya tuhuma zako unaleta taharuki.
 
Habari ndugu wana jf jamani hii nchi kamatakamata haijaisha...nina brother wangu ambae ni first born wetu aged 31 years amekamatwa yapata wiki mbili sasa usiku wa manane na watu tunaowahisi ni usalama wa taifa walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani walikuwa na bunduki wakamkamata pasi nakutoa maelezo maalum wakabeba na simu zake hatujuh aliko had leo hii mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajuh kam mwanae ni mzima ama amekufa kwa kwel hali ya usalama nchini si shwar na hatukuwah kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua kwa hiyo ombi langu kwa mamlaka hatukatazi kuwakamata na kuwahoji ila ni vizuri mukawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wap... pia ndugu wanajf naomb muendelee kupaza sauri kutokan na vitendo hivi vya usalam wa taifa
Acha uvivu na mashaka, kama yupo kwenye mikono ya serikali basi jua yupo mahali salama. Lkn kama kachukuliwa na magaidi wenzake, basi imekula kwake.
 
Habari ndugu wana jf jamani hii nchi kamatakamata haijaisha...nina brother wangu ambae ni first born wetu aged 31 years amekamatwa yapata wiki mbili sasa usiku wa manane na watu tunaowahisi ni usalama wa taifa walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani walikuwa na bunduki wakamkamata pasi nakutoa maelezo maalum wakabeba na simu zake hatujuh aliko had leo hii mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajuh kam mwanae ni mzima ama amekufa kwa kwel hali ya usalama nchini si shwar na hatukuwah kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua kwa hiyo ombi langu kwa mamlaka hatukatazi kuwakamata na kuwahoji ila ni vizuri mukawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wap... pia ndugu wanajf naomb muendelee kupaza sauri kutokan na vitendo hivi vya usalam wa taifa
Sasa ndugu, wewe mwenyewe unatumia ID fake, halafu kwenye taarifa yako umeshindwa kutaja majina ya hao ndugu zako! Umeshindwa kutaja eneo waliko kamatiwa! Hujaweka siku na tarehe waliyokamatwa, nk!!

Halafu umejuaje kama wamekamatwa kwa kuhisiwa kujifunza ugaidi, na wakati hao wakamataji hawakusema kitu chochote?
 
Habari ndugu wana jf jamani hii nchi kamatakamata haijaisha...nina brother wangu ambae ni first born wetu aged 31 years amekamatwa yapata wiki mbili sasa usiku wa manane na watu tunaowahisi ni usalama wa taifa walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani walikuwa na bunduki wakamkamata pasi nakutoa maelezo maalum wakabeba na simu zake hatujuh aliko had leo hii mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajuh kam mwanae ni mzima ama amekufa kwa kwel hali ya usalama nchini si shwar na hatukuwah kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua kwa hiyo ombi langu kwa mamlaka hatukatazi kuwakamata na kuwahoji ila ni vizuri mukawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wap... pia ndugu wanajf naomb muendelee kupaza sauri kutokan na vitendo hivi vya usalam wa taifa

Kama ni watu wa usalama atakuwa mzima, akae kwa kutulia atasikia tu yupo mahakaman anasomesha mashtaka na ataelekea magereza.

Ukiacha shika shika ya Mkumbo, hawa wanaoshikwa katika mazingira hayo unakuta wana facts za uhakika kuhusiana na mambo hayo.
 
Habari ndugu wana jf jamani hii nchi kamatakamata haijaisha...nina brother wangu ambae ni first born wetu aged 31 years amekamatwa yapata wiki mbili sasa usiku wa manane na watu tunaowahisi ni usalama wa taifa walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani walikuwa na bunduki wakamkamata pasi nakutoa maelezo maalum wakabeba na simu zake hatujuh aliko had leo hii mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajuh kam mwanae ni mzima ama amekufa kwa kwel hali ya usalama nchini si shwar na hatukuwah kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua kwa hiyo ombi langu kwa mamlaka hatukatazi kuwakamata na kuwahoji ila ni vizuri mukawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wap... pia ndugu wanajf naomb muendelee kupaza sauri kutokan na vitendo hivi vya usalam wa taifa
Linapo kuja swala la usalama wa nchi usilalamike kukamatwa kwa wahalifu
 
Sasa ndugu, wewe mwenyewe unatumia ID fake, halafu kwenye taarifa yako umeshindwa kutaja majina ya hao ndugu zako! Umeshindwa kutaja eneo waliko kamatiwa! Hujaweka siku na tarehe waliyokamatwa, nk!!

Lengo ni kutaka kusababisha mihemko kutoka kwa wakurupukaji, au?
Mihemko vipi bro kwamba taarifa nimetunga au... ishu iko serious yapata wiki ya pili sasa hatujuh mpendwa wet yuko hai au amekufa na hivi hawa jamaa wamepewa hadi kibali cha kuua pasi nakushtakiwa.... kikubwa kilichobaki ni mapenzi ya mungu pekee najua waliko wanateswa na kulazimishwa kusema mambo ambayo walikuw hata hawafanyi
 
Polisi mlifika kutoa taarifa? wanasemaje? Toa maelezo ya kutosha kona zote ili tuunganishe dot kama ni hao unaowatuhumu au ni kitu kingine. Mana hata Chadema wanaambiwa wanajitekaga wenyewe, ila maelezo yakisheheni wanajulikana wasiojulikana.
 
Back
Top Bottom