Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro kituo cha polisi tumeenda halafu wanasema hawana taarifa yoyote kuhusu tukio ilo so naona order imetok makao makuuChangamoto imeanza kwenye MAJINA. Nendeni kituo cha police kutoa taarifa.
Hii imetokea wapi,mji gani?Habari ndugu wana jf jamani hii nchi kamatakamata haijaisha...nina brother wangu ambae ni first born wetu aged 31 years amekamatwa yapata wiki mbili sasa usiku wa manane na watu tunaowahisi ni usalama wa taifa walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani walikuwa na bunduki wakamkamata pasi nakutoa maelezo maalum wakabeba na simu zake hatujuh aliko had leo hii mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajuh kam mwanae ni mzima ama amekufa kwa kwel hali ya usalama nchini si shwar na hatukuwah kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua kwa hiyo ombi langu kwa mamlaka hatukatazi kuwakamata na kuwahoji ila ni vizuri mukawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wap... pia ndugu wanajf naomb muendelee kupaza sauri kutokan na vitendo hivi vya usalam wa taifa
Wazazi na jamii yake.
muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua kwa hiyo ombi langu kwa mamlaka hatukatazi kuwakamata na kuwahoji.Duuh kwa bahati mbaya sikuwa hata na picha yake na mimi niko mbali na mkoani maybe nifanye utaratibu wanitumie picha yake then nitaiwasilisha
Sasa hilo Jina " Kuonewa" ndio shida inapoanziaAnaitwa ABDUL OMARI KUONEWA ni mkazi wa RUANGWA mjini hapo mjini penyewe nasikia wamekamatwa kama vijana sita
Brooo hivi gaidi serious auze maji kwenye mkokoteni sasa kuna maana gan ya kuwa gaidiHuenda wakawa magaidi kweli...Pazeni sauti kama si waharifu basi wataachiwa baada ya uchunguzi.
Labda nyendo zake na marafiki zake walikuwa si watu salama.Habari ndugu wana jf jamani hii nchi kamatakamata haijaisha...nina brother wangu ambae ni first born wetu aged 31 years amekamatwa yapata wiki mbili sasa usiku wa manane na watu tunaowahisi ni usalama wa taifa walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani walikuwa na bunduki wakamkamata pasi nakutoa maelezo maalum wakabeba na simu zake hatujuh aliko had leo hii mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajuh kam mwanae ni mzima ama amekufa kwa kwel hali ya usalama nchini si shwar na hatukuwah kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua kwa hiyo ombi langu kwa mamlaka hatukatazi kuwakamata na kuwahoji ila ni vizuri mukawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wap... pia ndugu wanajf naomb muendelee kupaza sauri kutokan na vitendo hivi vya usalam wa taifa
Ndiyo maana nimekuambia uweke taarifa kamili na inayojitosheleza.Mihemko vipi bro kwamba taarifa nimetunga au... ishu iko serious yapata wiki ya pili sasa hatujuh mpendwa wet yuko hai au amekufa na hivi hawa jamaa wamepewa hadi kibali cha kuua pasi nakushtakiwa.... kikubwa kilichobaki ni mapenzi ya mungu pekee najua waliko wanateswa na kulazimishwa kusema mambo ambayo walikuw hata hawafanyi
MmmmhDuuh kwa bahati mbaya sikuwa hata na picha yake na mimi niko mbali na mkoani maybe nifanye utaratibu wanitumie picha yake then nitaiwasilisha
Makao makuu ya nn sasa polisi tiss au ya nchi. Tulia tafta info then uje tukuoazie sautBro kituo cha polisi tumeenda halafu wanasema hawana taarifa yoyote kuhusu tukio ilo so naona order imetok makao makuu
Brooo hivi gaidi serious auze maji kwenye mkokoteni sasa kuna maana gan ya kuwa gaidi
Poleni sana,lakini ndugu palikua na umuhimu gani wa kuingiza dini hapo ?Hatukuwah kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni
Kwani wale madogo wanashika mitutu Congo huku wamechakaa wanakuwa wa kishua?Brooo hivi gaidi serious auze maji kwenye mkokoteni sasa kuna maana gan ya kuwa gaidi
Mbona hapo ushamtuhumu kuwa ni gaidi?Acha uvivu na mashaka, kama yupo kwenye mikono ya serikali basi jua yupo mahali salama. Lkn kama kachukuliwa na magaidi wenzake, basi imekula kwake.
Yani@faizafoxy pamoja na kupambana kote kuulinda u salamaleko bado wanafanyiwa hivi huku ndiko kuupiga mwingi kwa mama?😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂🤣Habari ndugu wana jf jamani hii nchi kamatakamata haijaisha...nina brother wangu ambae ni first born wetu aged 31 years amekamatwa yapata wiki mbili sasa usiku wa manane na watu tunaowahisi ni usalama wa taifa walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani walikuwa na bunduki wakamkamata pasi nakutoa maelezo maalum wakabeba na simu zake hatujuh aliko had leo hii mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajuh kam mwanae ni mzima ama amekufa kwa kwel hali ya usalama nchini si shwar na hatukuwah kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua kwa hiyo ombi langu kwa mamlaka hatukatazi kuwakamata na kuwahoji ila ni vizuri mukawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wap... pia ndugu wanajf naomb muendelee kupaza sauri kutokan na vitendo hivi vya usalam wa taifa
Mkuu ukiambiwa Ben Saanane alipotezwa kisa ugaidi unaweza thibitisha vipi?. Anaetakiwa kuthibitisha ni Mahakama.Thibitisha haikuwa mafunzo ya ugaidi?
Kwanini una imani ni watu wa usalama wamemchukua?Bro kituo cha polisi tumeenda halafu wanasema hawana taarifa yoyote kuhusu tukio ilo so naona order imetok makao makuu