Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Okay.

V I jana wa akiiskam wasidanganyike kwa tamaa ya pesa.

Uislam haufundishi ugaidi.

Mkiona mtu hata msikitini anajidai kufanya urafiki abawarubuni kwa pesa mumtolee ripoti polisi haraka sana.
Hii dini kuna tatizo la ugaidi mbona wale wa tanga na kibiti walikepo hadi maimamu hakuna mkristo hata mmoja, wengine juzi tu shinyanga wamehukumiwa miaka 45
 
Okay.

V I jana wa akiiskam wasidanganyike kwa tamaa ya pesa.

Uislam haufundishi ugaidi.

Mkiona mtu hata msikitini anajidai kufanya urafiki abawarubuni kwa pesa mumtolee ripoti polisi haraka sana.

Kwa nini Vijana WA Kikristo wasidanganywe kuwa magaidi?
Kwa nini tahadhari iwe pekee Kwa Vijana WA kiislam?

1. Je Vijana WA kiislam ni wajinga hivyo ni wepesi kulaghaiwa?

2. Je mafundisho ya kiislam ni rahisi kutumika kufanyia ugaidi kuliko mafundisho ya Kikristo?

3. Je Vijana wa kiislam ni Maskini ukilinganisha na Vijana WA Kikristo, Hali ijayosababisha kurubuniwa Kwa Pesa?

4. Je Vijana WA kiislam wanatamaa zaidi kuliko Vijana WA Kikristo?

Kwako Faiza
 
Habari ndugu wana JF,

Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.

Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.

Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.

Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Ni mkoa gan au wilaya gan?
 
Atakua amekufa
 
Ulitakiwa kupaza sauti kwa kakaako kwanza ili aache vitendo vya kigaidi.
 
Kwa nini Vijana WA Kikristo wasidanganywe kuwa magaidi?
Kwa nini tahadhari iwe pekee Kwa Vijana WA kiislam?

1. Je Vijana WA kiislam ni wajinga hivyo ni wepesi kulaghaiwa?

2. Je mafundisho ya kiislam ni rahisi kutumika kufanyia ugaidi kuliko mafundisho ya Kikristo?

3. Je Vijana wa kiislam ni Maskini ukilinganisha na Vijana WA Kikristo, Hali ijayosababisha kurubuniwa Kwa Pesa?

4. Je Vijana WA kiislam wanatamaa zaidi kuliko Vijana WA Kikristo?

Kwako Faiza
Hawezi kujibu hata moja hapa...
Akijibu ataleta blah blah tu
 
Duuh kwa bahati mbaya sikuwa hata na picha yake na mimi niko mbali na mkoani maybe nifanye utaratibu wanitumie picha yake then nitaiwasilisha
Unajiita Genius afu unashindwa kutoa maelezo toshelevu[emoji2368]
Andiko lako pamoja na I'd yako vyote vinaukakasi
Zaidi ya yote bado unaamasisha umma waende kinyume na serikali
 
Anaitwa ABDUL OMARI KUONEWA ni mkazi wa RUANGWA mjini hapo mjini penyewe nasikia wamekamatwa kama vijana sita
pole sana ila nikwambie tuu its not just coincidence kashikwa ndugu yako usishikwe wewe. tena mkuranga huko balaa tupu
 
Back
Top Bottom