Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Yale mafunzo upitia madrasa, mtoto ufundishwa wakiwa na umri mdogo sana akikua ni juu yake kufuata au kuacha, usione watu wanaenda kulala airport eti wanasubiri ndege ya kwenda ulaya bila visa ukadhani hayo mafunzo wamepata kwa mwezi mmoja.
 
Haya sasa serikali inaongozwa na muislamu na aliekamatwa ni muislamu sisi ni nani tuanze kutia neno. Alafu ukileta mada kama hizi hebu njoo na picha basi na ujieleze umejuaje sababu za kukamatwa kama wakamataji hawajasema kitu? Mbona kama umeshasema kazi ya Huyo kaka yako
 
Eeeh kwamba hujawah kusikia watu wa usalama kuwa ndiyo wauaji? Yule Kakaake na Catherine Ruge si aliua na aoao watu wa usalama? Nasasahivi ata wakitenda jinai hawashtakiwi popote sheria inawalinda.
 
Hicho kikosi kazi hakikoseagi, ndugu yako ni gaidi. Huyo ndio basi tena.
Munawapa credibility ambayo hat hawan... ishu ya kulipuliw ubaloz wa marekan ulikuw wap walikamatwa watu weng ambao hawahusiki mpak walipokuj FBI wakawaacha watu wote na ukwel ukajulikana
 
Eeeh kwamba hujawah kusikia watu wa usalama kuwa ndiyo wauaji? Yule Kakaake na Catherine Ruge si aliua na aoao watu wa usalama? Nasasahivi ata wakitenda jinai hawashtakiwi popote sheria inawalinda.


Kama sheria inaruhusu kufanya lolote unawalaumu hao au watunga sheria?
 
Ishu nahisi ni kampani maana nasikia huy rafiki yake mmoja ana video kabisa za mauaji yanayofanywa na alshabab au vikundi vingne vya kigaidi kwenye simu yake
We jamaa unajua unajichanganya sana

Inaonekana ukweli wote unaujua ila kuna vitu unaficha

Mmejuaje kuwa rafiki yake ana video za alshabab wakati hamjui hata aliewakamata?
 
Acha uvivu na mashaka, kama yupo kwenye mikono ya serikali basi jua yupo mahali salama. Lkn kama kachukuliwa na magaidi wenzake, basi imekula kwake.
Kwa sababu ya jina tayali gaidi sio? tunamuomba Mungu na wewe siku 1 wakukamate wakupeleke kusikojulikana kisha maiti yako iokotwe ufukwe wa koko
 
Yaliyofanyika kibiti, ule sio ugaidi?
Vipi mapango ya amboni tanga? Sio ugaidi?

Endelea kumtetea undugu
 
Mnajitoa ufahamu watu wakilalamikia serikali nyie mnaleta udini kwa kutumiwa na hao wanaowakamata sababu wakuu wa nchi ni waislaamu wenzenu. Sijui tukusaidie nini
Akili yako sio sawa ume mshushia tuhuma za kipumbafuvu
 
We jamaa unajua unajichanganya sana

Inaonekana ukweli wote unaujua ila kuna vitu unaficha

Mmejuaje kuwa rafiki yake ana video za alshabab wakati hamjui hata aliewakamata?
Acha ujing hvi unaelew kuna mtu ni shabiki alafu kuna mchezaji mwenyew sasa hawa wote nahisi pengine wamekamatwa kutokan na kushabikia hay mambo japokuwa wenyewe hawajawah kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…