sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Yale mafunzo upitia madrasa, mtoto ufundishwa wakiwa na umri mdogo sana akikua ni juu yake kufuata au kuacha, usione watu wanaenda kulala airport eti wanasubiri ndege ya kwenda ulaya bila visa ukadhani hayo mafunzo wamepata kwa mwezi mmoja.Kwa nini Vijana WA Kikristo wasidanganywe kuwa magaidi?
Kwa nini tahadhari iwe pekee Kwa Vijana WA kiislam?
1. Je Vijana WA kiislam ni wajinga hivyo ni wepesi kulaghaiwa?
2. Je mafundisho ya kiislam ni rahisi kutumika kufanyia ugaidi kuliko mafundisho ya Kikristo?
3. Je Vijana wa kiislam ni Maskini ukilinganisha na Vijana WA Kikristo, Hali ijayosababisha kurubuniwa Kwa Pesa?
4. Je Vijana WA kiislam wanatamaa zaidi kuliko Vijana WA Kikristo?
Kwako Faiza