Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Uko well informed.Askari Magereza aliaacha kazi ya jeshi akampiganie Allah.
Akawa anauza maji kwenye mzega mzega(toroli) kwahiyo watu wanamuona akiuza maji kama ndo shughuli yake inayomuingizia kipato kumbe ni undecover tu,Usiku wa maanan wanakutana katika mipango yao ya ugaidi na kuvamia ili kuishi.Huyo jamaa ndo alichonga mchongo wa kuvamia Staki Shari na kupora bunduki na kwenda kuleta movement kibiti.
Vipenyo wakagundua kuna watu wanatoka kwake saa 11 alfajiri,hilo gaidi likaja kuuliwa kwenye sekeseke la Kibiti.
Haya magaidi sio yakucheka nayo kabisa yaan.
Centre yao East Afrika ilikuwa kwenye kwa shekh Logo,baadae shekh Makaburi lakini wote washatangulizwa mbele ya haki.
Hawa vijana wanaongopewa sana sana kuhusu pepo na mabikira,mafundisho hatarishi yote lazima yamulikwe kwa jicho la mwewe.
Naona hawa wakithibitika ni kupiga shaba ya Kichwa, asiende gerezani kula bure.Askari Magereza aliaacha kazi ya jeshi akampiganie Allah.
Akawa anauza maji kwenye mzega mzega(toroli) kwahiyo watu wanamuona akiuza maji kama ndo shughuli yake inayomuingizia kipato kumbe ni undecover tu,Usiku wa maanan wanakutana katika mipango yao ya ugaidi na kuvamia ili kuishi.Huyo jamaa ndo alichonga mchongo wa kuvamia Staki Shari na kupora bunduki na kwenda kuleta movement kibiti.
Vipenyo wakagundua kuna watu wanatoka kwake saa 11 alfajiri,hilo gaidi likaja kuuliwa kwenye sekeseke la Kibiti.
Haya magaidi sio yakucheka nayo kabisa yaan.
Centre yao East Afrika ilikuwa kwenye kwa shekh Logo,baadae shekh Makaburi lakini wote washatangulizwa mbele ya haki.
Hawa vijana wanaongopewa sana sana kuhusu pepo na mabikira,mafundisho hatarishi yote lazima yamulikwe kwa jicho la mwewe.
AhahahaKimbia faster hapo kwa mangi uagizie chochote ntakuja kulipa baadaye.
Cheka balaa.
That is the main reason uko ponea yake akawe mkweli tu kama ni yupo mkononi kwa wanausalama ,kama kabebwa na magaid kwa staili iyo ndo basi tenaIshu nahisi ni kampani maana nasikia huy rafiki yake mmoja ana video kabisa za mauaji yanayofanywa na alshabab au vikundi vingne vya kigaidi kwenye simu yake
Ili iweje?Habari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Sipo mbali na mawazo yako jaama inabidi ameze ukweli atakaombiwa bila kutapika japo ni mchungu, hapo ni kubet kwasababu ndugu yake anakampani ambayo sio na kunamsemo wanasema nyoka hukaa na nyoka wenzie nyoka hawezi kaa na binadamu, kama si gaidi au anampango kwanin akae na watu wenye viashiria vya ugaidi na anaakili timamu,Kwahiyo mtu akiwa na pingu ni usalama wa taifa!? Vipi kama ni watu aliokuwa akishirikiana nao awali wameamua kumteka baada ya kuona kawasaliti! Binafsi nahisi kuna jambo kubwa unalofahamu nje ya haya maelezo yako maana hayana mashiko.
Bro kama Kweli amekamatwa kwa hizo tuhuma Ndugu yenu sio mtu Salama waaambieni Vijana wasome Dini waaache fikra za kikhawaariji na kujilipua ile sio DiniBrooo hivi gaidi serious auze maji kwenye mkokoteni sasa kuna maana gan ya kuwa gaidi
Hufahamu kitu nyamaza tuuuuHii dini kuna tatizo la ugaidi mbona wale wa tanga na kibiti walikepo hadi maimamu hakuna mkristo hata mmoja, wengine juzi tu shinyanga wamehukumiwa miaka 45
Achaneni na hizo camp za karate na uhusiano na vikundi vya itikadi kali...... haiwezekani wakakamatwa bahati mbaya.......mwezi uliopita vijana wawili toka Tz walikamatwa Kenya wakielekea Somalia kujiunga na Al-shabab .......kuna mawakala wanaondeleza mafunzo so acheni huo upuuzi ili muwe salama
Kiongozi wewe unaishi wapi ? Kati ya mwaka jana 2020 kuanzia mwezi wa 6 moaka leo hii mwezi wa 8 unaishi wapi au umetumia muda mwingi kuwa wapi ?Najua ili swala humu ndani linapelekwa kwa misingi ya kidini ila kiukwel kabisa kwa jinsi navyomfaham jamaa n brother wang ambae mizunguko yake yote kwa siku naijua na nin uhakika hajawahi kujihusisha hata kitendo kimoj cha ugaidi
Unauhakika?????Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
acheni ugaidi, msituchafulie nchi, kwanini wamkamate yeye wasikamatwe watu wengine?Habari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
kama ni kaka yako kweli na hata picha hauna, wewe ni muongo. mtafuteni tu polepole atapatikana si ukute ameenda kutafuta maisha na hao waliovamia si ukute majambazi au watu wanaomdai mbona inatokea mara nyingi sana? hata kwenye machimbo huko, mnadhurumiana mtu anatuma watu wanakudaka. sio kila anayedaka watu ni usalama wa taifa nyie.Duuh kwa bahati mbaya sikuwa hata na picha yake na mimi niko mbali na mkoani maybe nifanye utaratibu wanitumie picha yake then nitaiwasilisha
Tanzania katika issue ya kupambana na masuala ya ugaidi wako very serious mzee hyo task force inafanya kazi usiku na mchana.Habari ndugu wana JF,