Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Ukiondoa upuuzi wao wanaofanya kwa CCM katika mambo mengine TISS wapo vizuri
 
Askari Magereza aliaacha kazi ya jeshi akampiganie Allah.

Akawa anauza maji kwenye mzega mzega(toroli) kwahiyo watu wanamuona akiuza maji kama ndo shughuli yake inayomuingizia kipato kumbe ni undecover tu,Usiku wa maanan wanakutana katika mipango yao ya ugaidi na kuvamia ili kuishi.Huyo jamaa ndo alichonga mchongo wa kuvamia Staki Shari na kupora bunduki na kwenda kuleta movement kibiti.

Vipenyo wakagundua kuna watu wanatoka kwake saa 11 alfajiri,hilo gaidi likaja kuuliwa kwenye sekeseke la Kibiti.

Haya magaidi sio yakucheka nayo kabisa yaan.

Centre yao East Afrika ilikuwa kwenye kwa shekh Logo,baadae shekh Makaburi lakini wote washatangulizwa mbele ya haki.

Hawa vijana wanaongopewa sana sana kuhusu pepo na mabikira,mafundisho hatarishi yote lazima yamulikwe kwa jicho la mwewe.
Uko well informed.
 
Naona hawa wakithibitika ni kupiga shaba ya Kichwa, asiende gerezani kula bure.
 
?Mliripoti kwenye vituo vya polisi?Kama Kuna makosa amefanya huna haja ya kutafuta kuhurumiwa humu,hizo taasisi Zina watu wenye weledi wa Hali ya juu kwenye kutekeleza majukumu Yao,unafikiri ni Kwa Nini hawajakunasa wewe?au mtu mwingine Kila jambo linapotokea lazima kuwe na sababu zake,vi vizuri kuishi Kwa kufuata sheria na kujiepusha na mambo yanayoweza kuharibu maisha yetu.
 
Ishu nahisi ni kampani maana nasikia huy rafiki yake mmoja ana video kabisa za mauaji yanayofanywa na alshabab au vikundi vingne vya kigaidi kwenye simu yake
That is the main reason uko ponea yake akawe mkweli tu kama ni yupo mkononi kwa wanausalama ,kama kabebwa na magaid kwa staili iyo ndo basi tena
 
Habari ndugu wana JF,

Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.

Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.

Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.

Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Ili iweje?
 
Kwahiyo mtu akiwa na pingu ni usalama wa taifa!? Vipi kama ni watu aliokuwa akishirikiana nao awali wameamua kumteka baada ya kuona kawasaliti! Binafsi nahisi kuna jambo kubwa unalofahamu nje ya haya maelezo yako maana hayana mashiko.
Sipo mbali na mawazo yako jaama inabidi ameze ukweli atakaombiwa bila kutapika japo ni mchungu, hapo ni kubet kwasababu ndugu yake anakampani ambayo sio na kunamsemo wanasema nyoka hukaa na nyoka wenzie nyoka hawezi kaa na binadamu, kama si gaidi au anampango kwanin akae na watu wenye viashiria vya ugaidi na anaakili timamu,

Hatuwezi juwa kama ni watu wa usalama na kama ni usalama huwezi juwa ni kundi lipi pengine , pengine wanaweza kuwa ni watu wabaya wakaja kwa style iyo (50prcnt possible), cha muhimu nendeni vituo vyote vikubwa toa maelezo acha taarifa zenu then mwachieni Mungu , pengine mtamuona kama yupo mikono salama

Kuna watu wanapotea miaka 10 wanarudi
 
Brooo hivi gaidi serious auze maji kwenye mkokoteni sasa kuna maana gan ya kuwa gaidi
Bro kama Kweli amekamatwa kwa hizo tuhuma Ndugu yenu sio mtu Salama waaambieni Vijana wasome Dini waaache fikra za kikhawaariji na kujilipua ile sio Dini

Wasome dini wasiwe wajinga wanatumika kurutubisha agenda wakiaminishwa eti kuna Jihad watakwisha Kwa ujinga wao

Kama hana hatia atarudi
 
Hii dini kuna tatizo la ugaidi mbona wale wa tanga na kibiti walikepo hadi maimamu hakuna mkristo hata mmoja, wengine juzi tu shinyanga wamehukumiwa miaka 45
Hufahamu kitu nyamaza tuuuu
 
Achaneni na hizo camp za karate na uhusiano na vikundi vya itikadi kali...... haiwezekani wakakamatwa bahati mbaya.......mwezi uliopita vijana wawili toka Tz walikamatwa Kenya wakielekea Somalia kujiunga na Al-shabab .......kuna mawakala wanaondeleza mafunzo so acheni huo upuuzi ili muwe salama

Kesi zipo nyingi sema haziandikwi sana na vyombo vyetu vya habari kwa kuogopa kushutumiwa :

IN THE HIGH COURT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
CORRUPTION AND ECONOMIC CRIMES DIVISION

AT MTWARA SUB-REGISTRY
MISC. ECONOMIC APPLICATION NO. 01 OF 2022

(Originating from Economic Case No. 1 of2022 in the Resident Magistrate's
Court of Mtwara at Mtwara)

DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS............................. APPLICANT

VERSUS

1. RAMADHANI S/O HASSAN MAKAI @ MAKAI
2. ABDULRAZAK S/O ABDU @ MNIELEWA TUNAULAPA
3. RASHID S/O ISSA KONTOLA @ LIKO -RESPONDENTS
4. SALUM S/O MUSSA MNEMBA
5. BUSRA S/O MAHAMUDU ALLY J

RULING
8* and 27th April, 2022
BANZI, J.:

The Applicant herein, the Director of Public Prosecutions ("the DPP")
filed this ex-parte application by way of chamber summons seeking for the following orders; witnesses' testimony to be given through video conference
in accordance with the provisions of the Evidence Act [Cap. 6 R. E. 2019];
non-disclosure of identity and whereabouts of the witnesses for security reasons during committal proceedings; none disclosure of statements and
documents likely to lead to the identification of witnesses for their security reasons during committal and trial proceedings and any other protection
measure as the Court may consider appropriate for security of the witnesses.

The application was made under section 34 (3) of the Prevention of Terrorism Act, No. 21 of 2002 as amended ("the Prevention of Terrorism Act") and section 188 (1) (a), (b), (c) and (d) of the Criminal Procedure Act
[Cap 20 R.E. 2019] ("the CPA"). It is supported by affidavits of Ms. Mwahija M. Ahmed, learned Principal State Attorney and Superintend of Police Adam
Salim Amiri, the Regional Crimes Officer of Mtwara Region.

According to the affidavits with its annexures, the Respondents are jointly and severally charged with the offences of conspiracy to commit terrorist acts, recruitment of persons to participate into terrorist acts,
facilitation of commission of terrorist acts in foreign state, use of property from commission of terrorist acts and failure to disclose information relating
to offences and terrorist act. These offences are alleged to be committed on unknown dates between August and October, 2017 at Tangazo village,
within Mtwara rural in Mtwara Region.

At the hearing of the application, Ms. Tully Helela, learned State
Attorney appeared on behalf of the Applicant and she began her submission by requesting the Court to adopt the contents of two affidavits as part of the
submission. She further submitted that, according to investigation file, the ....... Soma zaidi tovuti ya Director of Public Prosecutions vs Ramadhani s/o Hassan Makai @Makai & four Others (Economic Application 1 of 2022) [2022] TZHCCED 22 (27 April 2022)
 
Najua ili swala humu ndani linapelekwa kwa misingi ya kidini ila kiukwel kabisa kwa jinsi navyomfaham jamaa n brother wang ambae mizunguko yake yote kwa siku naijua na nin uhakika hajawahi kujihusisha hata kitendo kimoj cha ugaidi
Kiongozi wewe unaishi wapi ? Kati ya mwaka jana 2020 kuanzia mwezi wa 6 moaka leo hii mwezi wa 8 unaishi wapi au umetumia muda mwingi kuwa wapi ?
 
Habari ndugu wana JF,

Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.

Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.

Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.

Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
acheni ugaidi, msituchafulie nchi, kwanini wamkamate yeye wasikamatwe watu wengine?
 
Duuh kwa bahati mbaya sikuwa hata na picha yake na mimi niko mbali na mkoani maybe nifanye utaratibu wanitumie picha yake then nitaiwasilisha
kama ni kaka yako kweli na hata picha hauna, wewe ni muongo. mtafuteni tu polepole atapatikana si ukute ameenda kutafuta maisha na hao waliovamia si ukute majambazi au watu wanaomdai mbona inatokea mara nyingi sana? hata kwenye machimbo huko, mnadhurumiana mtu anatuma watu wanakudaka. sio kila anayedaka watu ni usalama wa taifa nyie.
 
Habari ndugu wana JF,

Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.

Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.

Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.

Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Tanzania katika issue ya kupambana na masuala ya ugaidi wako very serious mzee hyo task force inafanya kazi usiku na mchana.

Kuna jirani yetu alikuwa na duka la spear za magari makubwa sasa pale nje kulikuwa na boda ambae walikuwa wanamtumia sana kwa issue za kusupply spear kwa wateja.

Sasa kuna siku wazew wakazi wakaja kumchkua huyo boda boda,baadae ikaja gundulika kuwa anahusika na masuala ya ugaidi alshabab.

Baada ya maneno mengi ya majirani kwa tajiri kuwa kamtupa jamaa aozee jela bas akapata nguvu akaenda kufatilia kituo fulani hapa dar weee mpemba wawatu ndani simu zilipigwa kila sehemu maana wana ndugu na jamaa mpaka jengo jeupe lakini mpemba wala boda boda hawakutoka.

Baada kama ya week 2 mpemba ndo akatoka ndani,na mpaka naandika hapa ni kwamba hakuwahi kuongea chochote alichofanyiwa au maisha ya hko alipokuwepo yakoje,boda boda mpaka leo hatujui kama alitoka au la.

NOTE:
Task force inayohusika na masuala ya ugaidi ina nguvu kubwa mno na inafanya kazi usiku na mchana na ndani yake kuna mixer ya usalama,polisi,jeshi,magereza,uhamiaji mixer comando's na mpaka ukiona mtu kaja kubebwa jua wana full intro kuhusu mtu husika kwani hawabahatishi
 
Back
Top Bottom