Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Waambieni vijana wawe makinaki akina Zuena ni wengi.
 
ABDUL OMARI KUONEWA[emoji3064]
Sijui kwanini majina hubeba roho ya uhalisia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila huyu hajaonewa. Ukiona mtu mpaka anakamatwa kwa kuhisiwa ugaidi ujue anajihusisha kwa namna moja au nyingine.

Usione watu wako kanisani au msikitini ukawachukulia poa, wengine wako kazini kufuatilia taarifa za kiusalama wa nchi

Na akigundulika ana makosa bora wakazike mgomba atauawa juu kwa juu
 
Mpaka hapa huyo ndugu yako si mtu mzuri. Mark my words.
 
Mafunzo ya ugaidi mtu hata kutumia silaha hawezi.

Na lindi Kuna ugaidi ?????

Hao usalama waache mambo Yao ya kuonea watu kwa propaganda za wazungu.
 
@Robert Heriel Mtibeli kwanza unatakiwa kujua hiyo sera ya ugaidi imeletwa na nani nchini tz ??? Na lengo lake ni kudhibiti Nini ???

Alafu nitakujibu.!
 
Kwa hivyo kukamatwa ni uthibitisho wa uhalifu? Tuseme na Slaa, Mdude na Mwakabusi na wahaini?
 
Kama hawabahatishi mbona wanakamata watu na kuwarudisha
 
Kwenye ishu ya ugaidi ni mara chache hawa jamaa kukukamata bila kuwa na sababu aisee. Inawezekana jamaa kuna watu aliwahudumia kwa kujua au kwa kutokujua
 
Kwa kurekebisha kidogo Sheikh Rogo na Makaburi hawakuwa wadhamini bali walikuwa kama recruiters ( watoa mafunzo) kwa vijana wadogo pale Masjid Musa Mombasani. Then vijana mafunzo yakiwaingia wanakuwa selected kwa watu wengine kwa stages nyingine. Kuwa full gaidi it's a process. Ndio maana hao kina Rogo Makaburi na mwingine jina limenitoka hawakuwahi kutiwa hatiani ktk kesi za mwanzo na mamlaka za Kenya cz hawakuwa na silaha au ushahidi wa moja kwa moja. Ila kwakuwa wakakuacha tabia ya kuwafunza jihad vijana basi mamlaka ikaona isiwe shida
 

Inasikitisha sana asee,hii dini inashida gani?mbona wanafanya mambo ya kishamba sana wakati dunia imetoka huko siku nyingi.
 
Inasikitisha sana asee,hii dini inashida gani?mbona wanafanya mambo ya kishamba sana wakati dunia imetoka huko siku nyingi.
Padri akibaka ahukumiwe padri na si dini ila sheikh akibaka unahukumiwa uislam, Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…