Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Kaka wa Kwanza wa Kuzaliwa au ndio wale Wazungu wanao waita Brother in Arms? Mda utaeleza.
 
Poleni sana famili, lakini ukisema watakuwa usalama wa Taifa ni kuwakosea watu hao maana hauna evidence, na pia kusema mnahisi ni kosa la ugaidi tayari lipo unalojua zaidi
 
Anaitwa ABDUL OMARI KUONEWA ni mkazi wa RUANGWA mjini hapo mjini penyewe nasikia wamekamatwa kama vijana sita
Kama si gaidi ataachiwa huru, kama ni gaidi atapotezwa. Pia hata kama ni gaidi wewe usingejua.
 

Kuanzia kwny kona hiyo ya nanganga kwenda hadi mbele ya ruangwa, kila mtu anamjua karibu kila mtu. Kama kweli Serikali wamemfuata, tambua wana taarifa zote kumuhusu
 
Pole kwa yaliyomkuta Kaka yako:-
1)Mpaka wanyookee kwake na wenzake, inawezekana kuna viashiria vya awali vilivyoonyesha ya kuwa ana nyendo zinazotia shaka;

2)Kama hana tatizo, uwezekano ni atarudi salama (95% - 100%);

3)Kutokumuhisi sio sababu ya yeye kutojihusisha kwa vitendo viovu (Siri ya mtu iko moyoni / Pia kuna msemo MLIPO-WAPO/THE ENEMY WITHIN (BUT PERHAPS) THE SAVIOUR TO MANY !!);

4)Na hata akirudi salama, unaweza usijue nini kilijiri kipindi alichokuwa anashikiliwa (95%-100% / Sijui huwa yanawakuta yapi !!);

5) Kaa kwa kutulia na kumwombea arudi salama (What if YOUR ARE NEXT !!!)

6) Pia inawezekana wamechukuliwa na washirika wao !!! (BETREYAL/SABABU NYINGINEZO !!!)
 
Haya maelezo yako kidogo yanaonyesha jamaa yako ana viashiria vya uhalifu.
 
Acha uvivu na mashaka, kama yupo kwenye mikono ya serikali basi jua yupo mahali salama. Lkn kama kachukuliwa na magaidi wenzake, basi imekula kwake.
Kwasababu siyo ndugu yako.Kuna usemi wa siku hizi usemao "Kichaa anachekesha km sio ndugu yako".Acheni nyie damu ni nzito kuliko maji.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Maria spaces ndo nini
Ni jukwaa pia huko tweeter, au telegram 'wenye nchiwananchi' na youtube, kunakojadiliwa mambo mbalimbali yanayoendelea nchini.
#MariaSpaces#MariaSpaces
 
Okay.

V I jana wa akiiskam wasidanganyike kwa tamaa ya pesa.

Uislam haufundishi ugaidi.

Mkiona mtu hata msikitini anajidai kufanya urafiki abawarubuni kwa pesa mumtolee ripoti polisi haraka sana.
Muhammad said; I have been given superiority over the other prophets in six respects: I have been given words which are concise but comprehensive in meaning; I have been helped by terror (in the hearts of enemies):......Sahih Muslim 523a
 
Huyo ndugu yenu hajakamatwa kimakosa na familia inajua kila kitu na sio mara ya kwanza kukamatwa ndo maana hukutaka kufunguka sana!

Elezea vizuri kwanini alikamatwa kwenye yale yaliyokua yanaendelea kibiti? Kwani wakati huo hakua anauza maji?
 
Uonevu na chuki zid ya waislam ila wafanye wafanyavyo hawawezi zima nuru ya uislam
Muanzilishi wa ugaidi

Muhammad said; I have been given superiority over the other prophets in six respects: I have been given words which are concise but comprehensive in meaning; I have been helped by terror (in the hearts of enemies):......Sahih Muslim 523a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…