Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Padri akibaka ahukumiwe padri na si dini ila sheikh akibaka unahukumiwa uislam, Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga?

IMG_4046.jpg

Mkuu kuna shida mahali kwenye mafundisho ya hii dini,mbona ninyi kila siku,kwani hii dunia haipaswi kuwa na wanadamu wenye imani tofauti,mbona kila mahali ninyi ndio tatizo?
 
Habari ndugu wana JF,

Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.

Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.

Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.

Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Je shughuli zake ndogondogo na mipango mchepuko zake mnazijua?
 
Mwezi wa nne sasa ndugu yetu kimya na tumeshatapeliwa zaidi ya million 1.5 kwa watu waliojinasibu ni usalama na wanataka kumrejesha ndugu yetu
 
Mwezi wa nne sasa ndugu yetu kimya na tumeshatapeliwa zaidi ya million 1.5 kwa watu waliojinasibu ni usalama na wanataka kumrejesha ndugu yetu
Ndugu yako ndiye yule jamaa mweusi kwenye video ya HAMAS wakiteka Waisrael huku akipiga Kelele Alawakubar
 
Back
Top Bottom