Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Msamehe huyoooo

Ova
 
Wanagegeda vizuri tu ila wakiwa free/mapumziko sasa TOLU wako mda wote yeye yupo DIZIMU wakati wenzake wapo Camp wanafanya Mazoezi ya Kufa MTU,Yeye yupo buzy kuzunguka na kina jokate na kupigana na kina TID.
haiwezekani iwe hivyo,kipindi cha mapumziko ni mapumziko,yale mazoezi unafanya mchezo nini..
 
Kwa vile wewe hujui lolote kuhusu BB usidhani hakuna Watanzania wenye kuujua mchezo huo nje ndani na hivyo kutoa ushauri wa kina.
haiwezekani atolewe hapaaende us kwa ajili ya kikapu halafu aliyempeleka asijue njia za kupita
 
Mtu mweusi ni mtu wa ajabu sana. Mwenyewe tunacheza wote kigilagila stars af eti unasema huko japan kashindwa kwenda sijui ligi gani...yani suala yeye kuwa ligi ya huko tu ni hatua kubwa sana. Wewe mwenzangu unayejifanya mshauri umeishia wapi katika safari yako...utasingizia kazi na shule. Kila mtu anauwezo wake na kiwango chake na sio wote wakali watacheza NBA. sio bahari ile kwamba kila meli inapita. Kongole Hasheem kwa struggle zote na popote utakapokuwepo.
 
Kwa taarifa yako alitaka kukurupuka baada ya mwaka mmoja tu wa chuo aende kwenye NBA Draft. Wabongo wakamweka chini na kumwambia hayuko tayari kwa uchezaji wake hivyo asingekuwemo hata katika 10 top players siku ya draft. NBA players wako tafu sana hivyo arudi chuoni japo kwa mwaka mwingine ili ajifue zaidi na kweli kukawa na improvement kubwa sana iliyomfanya awe second drafted player mwaka ule wa 2009.


haiwezekani atolewe hapaaende us kwa ajili ya kikapu halafu aliyempeleka asijue njia za kupita
 
kwa maneno yake mwenyewe alipofika kule alikua na mentality ya kitanzania,alitaka aache kikapu asome tu chuo apate kazi nzuri,hakuona kama kikapu kitampa hela zaidi ya mshahara wa ofisini,sasa hii baada ya mwaka mmoja we umeitoa wapi!?
 
CHADEMA ndiyo zao hizo. Mpee hongera zake
 
Uzalendo kwanza au Uwezo kwanza???????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…