Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Kuna muda unawaza mchongo kama ule angeupata mtu kama Dullah Mpemba aat his prime sijui hata ingekuaje!!
Yaani summer training camp unatrain na Hakeem Olajuwon,nyingine ile akawa na Mutombo,uko chama moja na The Beard,Russell na K.D afu we ndo jitu kubwa pale chini how do you flop???!!!!
All in all,the never say die spirit ya Hasheem ni kitu inani inspire sana.Bado anaamini he got this na atarudi kwenye ligi na ailipe kwa trust ambayo ilimuonyesha,true champion!
 
Why Hashim "Hasheem Thabeet" had a downfall career with Grizzlies, timu yake ya kwanza kabisa NBA...

Y'all should read this...

https://bealestreetbears.com/2019/01/17/memphis-grizzlies-tony-allen-hasheem-thabeet/
"didnt want to listen","no proffessional diet habits","no focus and attention" and "absolutely no talent"
Tony been there,done that.when he speaks you better listen!
Now you lot stop calling people "haters" wanapomkosoa mdogo wenu.He had an opportunity,even with minimum or no talent at all,his physicallity could do him better only if "he listened".
 

Dah umenikumbusha Dullah jamaa alikua anajua na anapiga kazi kwelikweli tena kipindi ambacho wengi walikua wanacheza kibishoo.. hivi aliendaga wapi kucheza yule jamaa ni comoro au sikumbuki vizuri.. dah nimemkumbuka na Obote mwili mkubwa
 

Kwa background yake Hasheem alihitaji mwongozo toka katika development development ambayo Grizzlies hawakuwa nayo hiyo ndio sababu kuu ya ku fail kwa Thabeet kama ilivyoelezwa katika hiyo article ..then ndio tumgeukie yeye mwenyewe.. ni vyema tukawa fair kwenye kuhukumu
 

Yaaaah hata mimi nampa bigup aisee kapambana ila alifanya kosa hilo inabid tukubali, wewe kina KD walikuwa wanamwangalia yeye kama jitu kubwa kwene timu yao, wazungu huwa wanashangaa jamaa kapatwa nini...All in all I wish him the best,
 

Well said man, KUDOS.....
 
Nimecheka kusikia alikuwa mbele Ya James Harden.
Thabeet, the second overall pick in the 2009 NBA Draft, has been a major disappointment, especially considering the fact that he was selected ahead of guys like James Harden, Stephen Curry,DeMar DeRozan and Jrue Holiday. He hasn’t played in the league since the 2013-14 season when he suited up for the Oklahoma City Thunder.
 
πŸ˜„πŸ˜„ it is you again broh wyat
 
Dah umenikumbusha Dullah jamaa alikua anajua na anapiga kazi kwelikweli tena kipindi ambacho wengi walikua wanacheza kibishoo.. hivi aliendaga wapi kucheza yule jamaa ni comoro au sikumbuki vizuri.. dah nimemkumbuka na Obote mwili mkubwa
Mpaka mwaka jana alikua Uganda nafikiri
 
Wakati wenzake walikuwa busy kufanya mazoezi, yeye alikuwa busy kupigana na mateja Dar akina tid na kuongelea haters. πŸ€·πŸ»β€β™€οΈ
 
Wakati wenzake walikuwa busy kufanya mazoezi, yeye alikuwa busy kupigana na mateja Dar akina tid na kuongelea haters. πŸ€·πŸ»β€β™€οΈ

Juhudi na nguvu anazotumia Thabeet kwenye fani yake zinaweza kuzidi nguvu unazotumia wewe na ndugu zako wote kwenye fani zisizoeleweka
 
Juhudi na nguvu anazotumia Thabeet kwenye fani yake zinaweza kuzidi nguvu unazotumia wewe na ndugu zako wote kwenye fani zisizoeleweka

Truth be told, wkt Kobe Bryant yuko mazoezini muda mfupi after finals, na akina Dwayne Wade na Team members wenzake , hasheem alikuwa wapi kama si bongo akipiga madongo haters Clouds Fm na kupigana na akina Tid? Wakiwa break kidogo hata wiki 2 Hasheem alikuwa wapi kama si bongo anahangaika na kina jokate wenzie wakiwa mazoezini? Harudi tena nba huyo, imeshatoka hiyo! Abaki huko huko Japan aliko ..
 

Duh! Kama ni kweli during the off season yakitokea hayo basi jamaa alijiua mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…