Kuna muda unawaza mchongo kama ule angeupata mtu kama Dullah Mpemba aat his prime sijui hata ingekuaje!!Well said, japokuwa kalagabaho anasema tunahate tukisema ukweli ila nashindwa kuelewa overall pick namba 2 akaflop vile alafu mtu alokuwa wa 16 akashine ville wakati pick zinafanyika kina James na Stieve walikuwa wanamwona HASHEEM NI MONSTER nna uhakika walikuwa wanamwogopa kabisa kwene game ila jamaa akachezea shilling chooni, penye ukweli tuwe tunasema tu tusikae kimya turekebishane tu panapobidi, kuna article nlishawahi soma wazungu wanasema alivyokuja NBA timu ziliweka ela nyingi kwake wakitegemea maajabu badala yake akawa anazidiwa statistics na hadi watu kama kina RAJON RONDO na ISAIA THOMAS sasa jitu kama hashimu unazidiwaje stats na vidogo kama hivi ? Twendeni mbele na kurudi nyuma...ILA KAMA ATAFANIKIWA KURUDI KWELI AMEPAMBANA MAANA MWAKA JANA NLISOMA ARTICLE NYINGINE INASEMA AMEAJIRI PERSONAL TRAINER KABISA WA KUMWEKA SAWA....All the Best Hasheem
Yaani summer training camp unatrain na Hakeem Olajuwon,nyingine ile akawa na Mutombo,uko chama moja na The Beard,Russell na K.D afu we ndo jitu kubwa pale chini how do you flop???!!!!
All in all,the never say die spirit ya Hasheem ni kitu inani inspire sana.Bado anaamini he got this na atarudi kwenye ligi na ailipe kwa trust ambayo ilimuonyesha,true champion!