Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Samatta watu wanampongeza?? Ukifanya Vizuri lazima upongezwe ila ukivurunda utaiona NGODOIGWA....Ebu angalia posts za watu kuanzia jana Samatta alivyoifunga Liverpool yaani watu wanampongeza na wanajivunia kuwa na samatta ,hadi wapenzi wa liverpool wanamsifia samatta.watanzania ni watuwakubeza beza mafanikio ya ndugu zao sio kuwapa moyo
NI kweli alipopata mafanikio 2009 -2011 tulimpongeza ila kwa sasa "Anatembelea Rims" lazima tumwambie kwamba alisahau kuchukua "Mguu wa jini".
Kuna huyu mchizi wa Senegal anaitwa fall yeye mrefu kuliko hashim yupo nba naye kaingia juzi tu ngoja tumsikilizie hope atafanya vizuri
Nimesema kwa sasa anatembelea rim yaani tyre imeisha upepo,anatembea huku ana pancha,ardhi inagusa rim kwahiyo angekuwa na mguu wa jini(spare tyre) angebadilisha ingemsaidia.Mkuu unapo sema mguu wa jini nn maana yake tafadhali.?
Yes 1 yr akaenda Houston Rockets nako akawa analamba zaidi ya bilioni 10.na alidumu only one year sio??
Damian ni franchise players pale trailblazersBasi Marekani mabilionea ni wengi mno. Hebu nichekie jamaa mmoja anaitwa Damian Lillard nijue anaweka kiasi gani kwa mwaka
Kazingua Sana mkuuMazigazi
Kama alikuwa draft pick namba 2 basi amezingua kinyama mwenzake curry pick namba 7 bado anakomaa tena analipwa mkwanja mrefu sana.
Kwahiyo jamaa alikuwa anahofia usalama ndio maana alikuwa anafikia hotelini, kama ni hivyo si angechukua bilioni 5 akajenga hekalu la maana. Alishindwa nn huyu kijana
Mbwembwe na ngendembwe zakeMazigazi
Kama alikuwa draft pick namba 2 basi amezingua kinyama mwenzake curry pick namba 7 bado anakomaa tena analipwa mkwanja mrefu sana.
Kwahiyo jamaa alikuwa anahofia usalama ndio maana alikuwa anafikia hotelini, kama ni hivyo si angechukua bilioni 5 akajenga hekalu la maana. Alishindwa nn huyu kijana
Boss jamaa na 32 years halafu anarekodi ya kuqa BUSTHahahaa we jamaa inaonyesha Hasheem amekukera sana kwa kitendo alicho fanya. Ila kikubwa ni juhudi, ajitume sana maana Mungu si Athuman mwaka kesho kutakuwa na draft so akikaza anaweza chaguliwa.
Jamaa kafaidi hela ya kutosha kwa miaka miwili tu 2009-2010 a 2010 -2011 baada ya hapo mpunga ukashuka hadi 2.5 B kwa mwaka hiyo aliipiga kwa miaka 2 baada ya hapo 2014 ikawa BABA JENNY BYE BYE ADIOS.e bwanae huko kakaa mda gani,pamoja na misuko suko ya kushuka kiwango lakini hela kapata,ila huko japan lazima hela ndogo
Kazingua Sana mkuu
Kuna mtu anaitwa Draymond green draft namba 35 Huko tena sijui second round ila wakati wa kazi anapiga kazi kweli kweli
Yeye alikuwa akija bongo kapendeza mwenyewe na hereni zake masikioni
Anakimbizana na akina jokate na kina TID
Nasikia alipokuwa anaingia bilcanas ana panda floor ya juu na kutupa dollar chini kama money rain [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Saivi anazitafuta kwa mbinde
Alipiga miaka miwili to 2012/2013 na 2013/2014 kwa 1.2m USD then "AKALAMBISHWA MCHANGA".hapo kati kati hakuwa na team??
Alipiga miaka miwili to 2012/2013 na 2013/2014 kwa 1.2m USD then "AKALAMBISHWA MCHANGA".
Inahusisha vilabu bingwa vya nchi. Itaanza kuchezwa kwa zonal then zitapatikana timu kadhaa ambazo sasa zitacheza kama ligi.
Zonal ya East Africa itahusisha nchi nafikiri 6 ambapo bingwa wa nchi (JKT) atacheza na bingwa wa nchi zingine. Then kila zonal itatoa timu 2 au 4 ambazo sasa zitacheza as a league.
Huu ni mwanzo tu lakini a dream ni kuwa na league kama ilivyo NBA ingawa kuna changamoto za umbali (navigation) na sponsors. Ila tutafika tu
Huyo IMEBAKI STORY tu,Alichezea Shilingi Chooni Sasa anaiona NGODOIGWA.Mkuu ndugu yetu maendeleo yakoje kwa sasa huko kwenye D League??? Maana naona kila siku timu yake Mad Ant inapokea kichapo tu.