Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

watanzania ni watuwakubeza beza mafanikio ya ndugu zao sio kuwapa moyo
Mbona Samatta watu wanampongeza?? Ukifanya Vizuri lazima upongezwe ila ukivurunda utaiona NGODOIGWA....Ebu angalia posts za watu kuanzia jana Samatta alivyoifunga Liverpool yaani watu wanampongeza na wanajivunia kuwa na samatta ,hadi wapenzi wa liverpool wanamsifia samatta.
 
Mkuu unapo sema mguu wa jini nn maana yake tafadhali.?
NI kweli alipopata mafanikio 2009 -2011 tulimpongeza ila kwa sasa "Anatembelea Rims" lazima tumwambie kwamba alisahau kuchukua "Mguu wa jini".
 
Mkuu unapo sema mguu wa jini nn maana yake tafadhali.?
Nimesema kwa sasa anatembelea rim yaani tyre imeisha upepo,anatembea huku ana pancha,ardhi inagusa rim kwahiyo angekuwa na mguu wa jini(spare tyre) angebadilisha ingemsaidia.

Huu ndio Mguu wa Jini.
Mguuwajini.jpg
 
Basi Marekani mabilionea ni wengi mno. Hebu nichekie jamaa mmoja anaitwa Damian Lillard nijue anaweka kiasi gani kwa mwaka
Damian ni franchise players pale trailblazers

Atakuwa anakunja maximum contract around 20-30m$
 
Mazigazi
Kama alikuwa draft pick namba 2 basi amezingua kinyama mwenzake curry pick namba 7 bado anakomaa tena analipwa mkwanja mrefu sana.

Kwahiyo jamaa alikuwa anahofia usalama ndio maana alikuwa anafikia hotelini, kama ni hivyo si angechukua bilioni 5 akajenga hekalu la maana. Alishindwa nn huyu kijana
Kazingua Sana mkuu

Kuna mtu anaitwa Draymond green draft namba 35 Huko tena sijui second round ila wakati wa kazi anapiga kazi kweli kweli

Yeye alikuwa akija bongo kapendeza mwenyewe na hereni zake masikioni

Anakimbizana na akina jokate na kina TID

Nasikia alipokuwa anaingia bilcanas ana panda floor ya juu na kutupa dollar chini kama money rain [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Saivi anazitafuta kwa mbinde
 
Mazigazi
Kama alikuwa draft pick namba 2 basi amezingua kinyama mwenzake curry pick namba 7 bado anakomaa tena analipwa mkwanja mrefu sana.

Kwahiyo jamaa alikuwa anahofia usalama ndio maana alikuwa anafikia hotelini, kama ni hivyo si angechukua bilioni 5 akajenga hekalu la maana. Alishindwa nn huyu kijana
Mbwembwe na ngendembwe zake

Angenunua hata apartment hapo upanga
 
Hahahaa we jamaa inaonyesha Hasheem amekukera sana kwa kitendo alicho fanya. Ila kikubwa ni juhudi, ajitume sana maana Mungu si Athuman mwaka kesho kutakuwa na draft so akikaza anaweza chaguliwa.
Boss jamaa na 32 years halafu anarekodi ya kuqa BUST
 
Kama hasheem angekuwa na good money management kwa mpuga aliovutq back then saivi Wala asingehangaika na uchafu wa G LEAGUE Angekuwa investor somewhere

Mahangaikooo yote sababu aliharibu Huko nyuma hela kafuja japo ni zake .
 
Sote katika maisha yetu huwa kuna muda tunakosea. Hasheem kukosea mpaka kuanguka kutoka NBA hakuwa wa kwanza na kamwe hawezi kuwa wa mwisho. Ni kweli wengi tuliumia kutokana na kuanguka kwake, kwani tulifarijika baada ya kupata cha kwetu NBA. Akiwa kama binadamu, kama ilivyo kwetu sisi, anahitaji faraja zaidi fighting for his second chance to the NBA more than the hate and negativities we put on his name.

Ilikuwa ni vigumu kwake kuweza kusurvive NBA kutokana na mapinduzi yaliyofanyika katika game with just basic skills, lacking extra skills. Ujio wa watu kama akina Curry uliifanya game ibadilike from Traditional Baskeball to Modern Era of Basketball. Kwenye Modern Era concentration kubwa ilihamia kwenye Scoring na Shooting zaidi kuliko fundamental basketball, kitu ambacho kilifanya watu kama akina Hasheem washindwe kudumu, Centers saizi wanacheza nje ya D, wanachoot 3 kama guards na vitu kama hivyo. Sasa kuwa na mtu kama Hasheem kwenye timu automatically anakuwa liability.

Muhimu he should add shooting to his arsenal, soon tutamuona tu NBA hata ikiwa game 1 inatosha kabisa.
 
e bwanae huko kakaa mda gani,pamoja na misuko suko ya kushuka kiwango lakini hela kapata,ila huko japan lazima hela ndogo
Jamaa kafaidi hela ya kutosha kwa miaka miwili tu 2009-2010 a 2010 -2011 baada ya hapo mpunga ukashuka hadi 2.5 B kwa mwaka hiyo aliipiga kwa miaka 2 baada ya hapo 2014 ikawa BABA JENNY BYE BYE ADIOS.
 
Jamaa senge kweli, ila naona ni kukosa malezi yaliyo bora. Tizama kina Curry, Harden, king James na wengineo ni baadhi ya wachezaji wanao kuja mkwanja mrefu sana. Lakin sijawahi sikia wala kuona wakifanya huo upuuzi wa kupanda juu ghorofani kisha kuzitupa pesa. Jamaa wako busy na kazi, tusiende mbali kijana wetu Samatta mbona hizo ishu hana.
Kazingua Sana mkuu

Kuna mtu anaitwa Draymond green draft namba 35 Huko tena sijui second round ila wakati wa kazi anapiga kazi kweli kweli

Yeye alikuwa akija bongo kapendeza mwenyewe na hereni zake masikioni

Anakimbizana na akina jokate na kina TID

Nasikia alipokuwa anaingia bilcanas ana panda floor ya juu na kutupa dollar chini kama money rain [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Saivi anazitafuta kwa mbinde
 
Mkuu ndugu yetu maendeleo yakoje kwa sasa huko kwenye D League??? Maana naona kila siku timu yake Mad Ant inapokea kichapo tu.
Alipiga miaka miwili to 2012/2013 na 2013/2014 kwa 1.2m USD then "AKALAMBISHWA MCHANGA".
 
Nimeona aisee
Inahusisha vilabu bingwa vya nchi. Itaanza kuchezwa kwa zonal then zitapatikana timu kadhaa ambazo sasa zitacheza kama ligi.

Zonal ya East Africa itahusisha nchi nafikiri 6 ambapo bingwa wa nchi (JKT) atacheza na bingwa wa nchi zingine. Then kila zonal itatoa timu 2 au 4 ambazo sasa zitacheza as a league.

Huu ni mwanzo tu lakini a dream ni kuwa na league kama ilivyo NBA ingawa kuna changamoto za umbali (navigation) na sponsors. Ila tutafika tu
Inst-image-11.jpeg
 
Mkuu ndugu yetu maendeleo yakoje kwa sasa huko kwenye D League??? Maana naona kila siku timu yake Mad Ant inapokea kichapo tu.
Huyo IMEBAKI STORY tu,Alichezea Shilingi Chooni Sasa anaiona NGODOIGWA.
 
Hapo Bucks huyo Antetokoumpo anakula 100 million dollars ndani ya miaka 4, hapo Raptors Pascal Siakam Mcameroon huyu amesign 130 million dollars kwa miaka minne juzi tu. Unaona kiasi gani Hasheem angekaza naye asingekosa haya mamilioni yaani ni hela nyingi balaa.
 
Back
Top Bottom