Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua,
Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza kunusuru maisha yako.
Tafadhali sana,
Mawaidha hayo ndio zawadi yangu kwenu kwa mwaka mpya2025.
Natumai kujadiliana mambo ya kisiasa tukiwa na afya njema, lakini pia kua na uhakika wa matibabu, endapo tutapitia changamoto za kiafya tukiwa na bima.
Happy new year2025 my friends, ladies and gentleman

happy new year2025 in advance gentleman!