Ndugu Zangu, Hususani wa Jukwaa la Siasa, Hakikisha Miongoni Mwa Malengo Yako Kwa Mwaka 2025, Unakua na Bima Ya Afya.

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua,

Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza kunusuru maisha yako.

Tafadhali sana,
Mawaidha hayo ndio zawadi yangu kwenu kwa mwaka mpya2025.

Natumai kujadiliana mambo ya kisiasa tukiwa na afya njema, lakini pia kua na uhakika wa matibabu, endapo tutapitia changamoto za kiafya tukiwa na bima.

Happy new year2025 my friends, ladies and gentleman :pulpTRAVOLTA:
 
Bima za kiafya za kibongo ni pamoja na hirizi viunoni

Wana mambo mengi sanaa kama unaonba visa ya Marekani
Well advs
 
Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua,

Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza kunusuru maisha yako.

Tafadhali sana,
Mawaidha hayo ndio zawadi yangu kwenu kwa mwaka mpya2025.

Natumai kujadiliana mambo ya kisiasa tukiwa na afya njema, lakini pia kua na uhakika wa matibabu, endapo tutapitia changamoto za kiafya tukiwa na bima.

Happy new year2025 my friends, ladies and gentleman :pulpTRAVOLTA:
Ngoja tumalize uchaguzi mkuu 2025
Tutakufikiria
 
Bima ya afya iwe na huduma muhimu,iwe na uwezo wa kupata hudumu muhimu
,sio iwe na uwezo wa kupata paracetamol tu na kupimia UTI na malaria tu.
gentleaman,
ni muhimu sana kwanza kila moja awe na bima ya afya,
kisha ikiwa kuna changamoto katika kupata huduma, inakua rahisi sana kuitatua.

hata hivyo,
make sure una kua na bima ya afya2025 ili kupunguza kuchangiana matibabu wakati hali ya ugonjwa ikiwa hatua mbaya sana kwa kukosa matibabu ya awali kwasababu ya kukosa pesa:pulpTRAVOLTA:
 
Bima siyo dili na wala haizuii kifo kikishafika.
ni aibu na fedheha kukosa tiba kwasababu ya kukosa fedha ya matibabu hali ya kua una iphone ya milion4, halafu bima ya elfu50 inakuumbua ukiwa mahututi,

inasikitisha sana inafedhehesha sana.

gentleman,
kwenda na wakati ni pamoja na kua na bima ya afya na iphone toleo jipya:pulpTRAVOLTA:
 
gentleaman,
ni muhimu sana kwanza kila moja awe na bima ya afya,
kisha ikiwa kuna changamoto katika kupata huduma, inakua rahisi sana kuitatua.

hata hivyo,
make sure una kua na bima ya afya2025 ili kupunguza kuchangiana matibabu wakati hali ya ugonjwa ikiwa hatua mbaya sana kwa kukosa matibabu ya awali kwasababu ya kukosa pesa:pulpTRAVOLTA:
Mkuu nilipo nina bima ya afya ya level ya raisi wako kijana😄

Hiyo bima ya afya japo inamsaada ukiumwa mafua na vigonjwa vidogo, ila kwa mtu maskini bado ni mwiba mkali akipata tatizo kubwa bima ya afya kumsaidia.
 
Back
Top Bottom