Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua,
Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza kunusuru maisha yako.
Tafadhali sana,
Mawaidha hayo ndio zawadi yangu kwenu kwa mwaka mpya2025.
Natumai kujadiliana mambo ya kisiasa tukiwa na afya njema, lakini pia kua na uhakika wa matibabu, endapo tutapitia changamoto za kiafya tukiwa na bima.
Happy new year2025 my friends, ladies and gentleman
wewe UTI haiwez kukuachaSiumwi 2025. Acha kunichulia
Wana mambo mengi sanaa kama unaonba visa ya MarekaniItakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua,
Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza kunusuru maisha yako.
Tafadhali sana,
Mawaidha hayo ndio zawadi yangu kwenu kwa mwaka mpya2025.
Natumai kujadiliana mambo ya kisiasa tukiwa na afya njema, lakini pia kua na uhakika wa matibabu, endapo tutapitia changamoto za kiafya tukiwa na bima.
Happy new year2025 my friends, ladies and gentleman
Ngoja tumalize uchaguzi mkuu 2025Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua,
Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza kunusuru maisha yako.
Tafadhali sana,
Mawaidha hayo ndio zawadi yangu kwenu kwa mwaka mpya2025.
Natumai kujadiliana mambo ya kisiasa tukiwa na afya njema, lakini pia kua na uhakika wa matibabu, endapo tutapitia changamoto za kiafya tukiwa na bima.
Happy new year2025 my friends, ladies and gentleman
gentleaman,Bima ya afya iwe na huduma muhimu,iwe na uwezo wa kupata hudumu muhimu
,sio iwe na uwezo wa kupata paracetamol tu na kupimia UTI na malaria tu.
ni aibu na fedheha kukosa tiba kwasababu ya kukosa fedha ya matibabu hali ya kua una iphone ya milion4, halafu bima ya elfu50 inakuumbua ukiwa mahututi,Bima siyo dili na wala haizuii kifo kikishafika.
Mkuu nilipo nina bima ya afya ya level ya raisi wako kijana😄gentleaman,
ni muhimu sana kwanza kila moja awe na bima ya afya,
kisha ikiwa kuna changamoto katika kupata huduma, inakua rahisi sana kuitatua.
hata hivyo,
make sure una kua na bima ya afya2025 ili kupunguza kuchangiana matibabu wakati hali ya ugonjwa ikiwa hatua mbaya sana kwa kukosa matibabu ya awali kwasababu ya kukosa pesa
Bima ya afya ni kujilisha upepo tu. Uwe na bima au usiwe nayo, itakufa tu.halafu bima ya elfu50 inakuumbua ukiwa mahututi,