Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

Aseee. Watoto wa 2000's ni kisanga
Yani mkuu mpaka unashindwa kujua vinataka nini, unatoka kazini umechanganyikiwa unakuja kumalizia vimeo vingine home, nako unakutana na balaa la kitoto cha watu kimevuta mashavu, mara kizime pc yaan full mazigazi.
 
Mkuu naomba kukuweka sawa.
Hiyo sms ndefu ni sms yake yeye baada ya mm kumuambia ukweli kuwa simuhitaji mana Kuna siku nilimwambia kama Mungu amepanga tuwe wote basi atatupa majibu yeye akajibu hiyo Mimi nikajibu sawa.
Tuonyeshe SMS uliyomtema na kumchana live
 
Yani mkuu mpaka unashindwa kujua vinataka nini, unatoka kazini umechanganyikiwa unakuja kumalizia vimeo vingine home, nako unakutana na balaa la kitoto cha watu kimevuta mashavu, mara kizime pc yaan full mazigazi.
Kuwa makini usije ukapata murder case asee
 
Kuna maisha baada ya ndoa. Huyo mwanamke ni mpumbavu, sijui umempendea nini hapo. Anataka harusi ipendeze kwa ajili ya kupost picha status, hawazi Maisha. Je mkimaliza harusi watu wamekula na kunywa, na nyie mmebaki hapo mmefulia mtakuwa wageni wa nani?
 
Kweli dunia haiko fair, wakati wengine hatujawahi hata kutolewa mahari ya mbuzi 1, kuna wengine wanakataa 1M dah nimelia sana🤔
 
Tuonyeshe SMS uliyomtema na kumchana live
Unataka niprove Nini kwako? Endelea kUamini unavyo amini au huyo demu ni dada Yako? Watu wameshanipa ushauri ni maamuzi yangu kuamua
 
Kuwa makini usije ukapata murder case asee
Nimeachana nacho mkuu, nimekubali hasara.
Vitu nilivyowekeza kwake ni vya kawaida sana(nilikuta anaishi nyumba empty sana nikaamua kumjazia mazaga yanayohitajika kwa mrembo kama yeye) akahisi kupitia huo upuuzi ndio nimefika. Nilivyokiambia kitafute watoto wenzie kikauliza vipi kuhusu vitu ulivyoninunulia nikacheka kimoyomoyo.
 
mtu yeyote ambae mkijadiliana,au kupishana kwa kauli kidogo anataja Neno Bora tuachane hapo upendo haupo
abot mission mkuu tafuta marisho sehemu nyingine
 
Unataka niprove Nini kwako? Endelea kUamini unavyo amini au huyo demu ni dada Yako? Watu wameshanipa ushauri ni maamuzi yangu kuamua
Umenielewa tofauti ndugu ila sawa kazi njema.
 
Jamaa linatafuta hiyo 2.5M huku likiomba na ushauri humu rejea kauli yake ya "kuna mwanamke nampenda sana" nikirudi kwako mleta mada hapo huchomoki baba utatoa tu hiyo 2.5M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…