Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!
Yan una 1M halafu unapanga matumizi ya kwenda kuwekeza kwa watu bado unabeba tatizo lao unajimilikisha linakua lako ukiwa umeacha ile Milion kwao mnakuja kuanza upya? Kweli mkuu?
 
Mchumba wako anapanga vipi mahari?

Kwani tiyari umeshajitambulisha ukweni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…