Ndugu zangu tusichoke kuichangia TV Imaan, kituo kizima kina watangazaji wanne

Niko hapa kwa Shirima, Mianzini Chuga naona na yeye ameguswa sana na hili suala kaahidi atachangia. Ndo namalizia kitimoto rost hapa nikatume muamala.
Mpe hiyo hela jombii wa chadema aweke kwenye accou ya benk ya amana pale mjini.
 
Uongo
 
Elimu ya kujilipua hiyo
 
Wamewazidi wakristo kwenye uwekezaji upi? Mashule, vyuo, hospitali, vituo vya afya au vyuo vya ufundi?
 
Wamewazidi wakristo kwenye uwekezaji upi? Mashule, vyuo, hospitali, vituo vya afya au vyuo vya ufundi?
Kwa sababu wakristo walinyonya haki za waislamu kwa miaka mingi hatusemi kuwa tumewazidi isipokuwa waislamu katika kipindi nilichokitaja wamezinduka na kujifanyia mambo yao
 
Na wakiwa wengi watatangaza nini?
Mass Communication ina mnyororo wake, kunapaswa kuwa na uwiano kila kipengele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…