Ndugu zangu upande wa baba wanainua vita kali juu yangu

Bro usihangaike na ndugu wala kusikiliza maneno songa mbele wazazi wako ndio wa maana wengine funga masikio wengine ziwe kama Saudi za chura.
 
Pole sana kipenzi
 
USIWASIKILIZE

USIRUHUSU MTU YEYOTE AKUAMBIE 'SHANGHAZI YAKO ANAKUSEMA HIVI'

MARA OOH SIJUI NANI ANAKUSEMA HIVI

Hata mama yako asikuletee taarifa zozote kutoka kwa ndugu zako

Jiepushe Kuumizwa bila sababu
Asante sana mku kWa ushauri.

Kuna kitu jirani alinisaidia so nikaenda kwakwe kumshukuru so tukiwa katikati ya mazungumzo nikamskkia shangazi yangu anamuita so ikabidi aende kumsikiliza.alipomaliza kilichomleta ikabidi sasa aanze mada juu yangu alichokiongea ndicho kilichousononesha mayo wangu🥺
 
usiwaruhusu wakuumize

moyo wako ni mali yako

ilinde mali yako
 
Asante chief

Ubarikiwe 🫶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…