Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Treni unapata wasaa mzuri, unapiga story safi na abiria wenzako, mandhari mazuri ya kuvutia, toilet humo humo na vitafunwa na vinywaji unavipata bila shida yoyote, muda wa kusafiri ni mfupiPole sana mkuu
nakumbuka Nakumbuka Nime wai tembea na mkojo toka ilula mpaka uyole mbeya
Mateso niliyo ya pitia niliapa siji kupanda Basi Tena wale viumbe hawana utu
Hapo inabidi uwe mviziaji kweli ukichelewa tu umeachwa haisubiri mtu sio km kule naniuChangamoto ya treni ni ratiba. Wameweka asubuhi na jioni pekee so unatakiwa kuvizia hiyo mida.
😂😂😂 Kimekua kuaje Mkuu wangu wa kurugenzi Mawasiliano JF?mkuu naona Kiswahili chako kimekuwa sana kushinda mtu yoyote humu jukwaani...!😂
Ni 13,000 bado ila abiria mtihani wakusubiri sanaAbood anaumia sana hivi sasa,
Ndo uhalisia wa biashara, akija mtu mwenye kitu kinachokupita ubora, hadi wale wateja wako wa kudumu wanakusaliti. Ukifikiria inashangaza
Nasikia kashusha moro-dar mpaka kwenye 8000/=
Serious?1:30
kasome komenti yako utajionea kilivyokuwa wewe ni hatari sana,tukupe ubaba ktk Kiswahili..😁😂😂😂 Kimekua kuaje Mkuu wangu wa kurugenzi Mawasiliano JF?
Ndio nimemtaka afufunue huo Muda vizurikasome komenti yako utajionea kilivyokuwa wewe ni hatari sana,tukupe ubaba ktk Kiswahili..😁
Stendi ya msamvu tuigeuze matumizi tujenge uwanja wa mpiraNi 13,000 bado ila abiria mtihani wakusubiri sana
abood imekuwa daladala🤣Ni 13,000 bado ila abiria mtihani wakusubiri sana
naona na asije akauacha uchi huo muda tu maana wengine huwa tunabaka hadi vitu visivyoonekana!Ndio nimemtaka afufunue huo Muda vizuri
13,000 na 15,000Hadi Morogoro nauli tsh ngapi?
13'000/=Hadi Morogoro nauli tsh ngapi?
Natafuta nauli mwezi ujao na mimi nitest zali...Wadau hamjamboni nyote?
Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus
Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma
Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza.
Mchana mwema
Kwa hio sasa itakuaje watu wanaenda kujazana kwenye TreniNasikia kashusha moro-dar mpaka kwenye 8000/=
Nenda na watoto. Asubuhi mnaenda Moro,jioni mnarudi Dar.Natafuta nauli mwezi ujao na mimi nitest zali...
Mkuu hivi tickets wanauza site ipi, maana naangalia hapa naona tickets za treni ya kawaida sijui deluxe!Nenda na watoto. Asubuhi mnaenda Moro,jioni mnarudi Dar.
Sgrticket.trc.co.tzMkuu hivi tickets wanauza site ipi, maana naangalia hapa naona tickets za treni ya kawaida sijui deluxe!