Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

Pole sana mkuu

nakumbuka Nakumbuka Nime wai tembea na mkojo toka ilula mpaka uyole mbeya

Mateso niliyo ya pitia niliapa siji kupanda Basi Tena wale viumbe hawana utu
Treni unapata wasaa mzuri, unapiga story safi na abiria wenzako, mandhari mazuri ya kuvutia, toilet humo humo na vitafunwa na vinywaji unavipata bila shida yoyote, muda wa kusafiri ni mfupi
 
Abood anaumia sana hivi sasa,

Ndo uhalisia wa biashara, akija mtu mwenye kitu kinachokupita ubora, hadi wale wateja wako wa kudumu wanakusaliti. Ukifikiria inashangaza

Nasikia kashusha moro-dar mpaka kwenye 8000/=
 
Wadau hamjamboni nyote?

Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus

Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma

Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza.

Mchana mwema
Natafuta nauli mwezi ujao na mimi nitest zali...
 
Back
Top Bottom