Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Uhhh, this is debate....

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Huu ujumbe mzuri sana pia wasisahau wakishapima HIV waende kupima na Homa ya ini(Hepatitis B)maana na wenyewe unaambukizwa kwa njia hizohizo za HIV lakini wenyewe hata jasho tu linaambukiza na nimbaya zaidi ya HIV na hautangazwi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma comments za wadau utadhani watu wata-abstain au watakuwa faithful, dadeq! Mechi zinauzwa tena peku, binadamu kiumbe msahaulifu sana asee!!!
 
Unapima ili iweje sasa?huyo Virus mwenyewe hv yukoje mwenye picha tafadhari anionyeshe.
 
Hawana utu kabisa wale...manesi sijui kwanini wako vile[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…