Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

UKIMWI upo na unaua....Tujenge tabia ya kupima afya zetu
IMG_20190204_155758.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa makini zaidi , siku hizi kuna kinywaji ukinywa kama ni positive.kile kipimo kinakuonyesha upo negative.
Njia nzuri ya kumpima mtu ni lala nae usiku kucha ai shinda nae mchana hakikisha hanywi COCACOLA, Mda wa masaa ata 12 mkiamka asubuhi mkapime.
Mgonjwa wa HIV akinywa cocacola kipimo kinaonyesha negative.
Na hiyo njia waathirika wengi wanaijua hivyo ukimwambia kupima anatoka nyumbani akiwa kajishindilia cocacola akifika kupima unakuta negative

Sent using Jamii Forums mobile app
Uhhh, this is debate....

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Huu ujumbe mzuri sana pia wasisahau wakishapima HIV waende kupima na Homa ya ini(Hepatitis B)maana na wenyewe unaambukizwa kwa njia hizohizo za HIV lakini wenyewe hata jasho tu linaambukiza na nimbaya zaidi ya HIV na hautangazwi sana.
Naona vijana hufunguwa majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utahalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.

ujumbe
ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama tumejisahau kuwa ukimwi upo, in fact , kama huna maambukizi huwezi feel! ila ndugu zetu wengine walio pata maambukizi kwa sababu mbalimbali wao wanafeel na wananielewa nini nazungunza! ngono zembe, ni hatari, siku hizi HIV Tester zipo katika maduka ya madawa, nenda ukajipime na mwenza wako, usienda na mtu bila kupima, tuacheni michezo ya kujichezeaa kamali katika maisha yetu.

tujihadhali, ukimwi bado upo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma comments za wadau utadhani watu wata-abstain au watakuwa faithful, dadeq! Mechi zinauzwa tena peku, binadamu kiumbe msahaulifu sana asee!!!
 
Naona vijana hufunguwa majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utahalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.

ujumbe
ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama tumejisahau kuwa ukimwi upo, in fact , kama huna maambukizi huwezi feel! ila ndugu zetu wengine walio pata maambukizi kwa sababu mbalimbali wao wanafeel na wananielewa nini nazungunza! ngono zembe, ni hatari, siku hizi HIV Tester zipo katika maduka ya madawa, nenda ukajipime na mwenza wako, usienda na mtu bila kupima, tuacheni michezo ya kujichezeaa kamali katika maisha yetu.

tujihadhali, ukimwi bado upo,
Unapima ili iweje sasa?huyo Virus mwenyewe hv yukoje mwenye picha tafadhari anionyeshe.
 
Natamani ufanyike uafiti wa idadi ya vifo vya watu wanaojinyonga baada ya kupewa majibu ya VVU kwa style "kijeshi"
Zamani mtoa ushauri anaangalia "mhemuko" wa mgonjwa kabla hajampa majibu yake na ikibidi anakwambia njoo kesho ili kumpa nafasi ya kujitafakari...sasa hivi bi dada nesi anakupa majibu yako huku anachati insta, ukiangua kilio anakuuliza " cha ajabu nini?
Kibaya zaidi na dawa unapewa siku hiyo hiyo...
Hawana utu kabisa wale...manesi sijui kwanini wako vile[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom