Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni kuutii huo umakiniNdo ivyo mkuu,tuwe makini sana,UKIMWI upo
Ahahahahaha...Full kubdescribe mpaka mtu unapata mashaka huyu dada halis au dada wa hiyari anaezungumziwa hapahahahah ...hizo ni sifa tu kama mrefu..mfupi...mwembamba.. mnene...mweusi...mweupe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nooma mkuu
Naunga mkono hojaKondom inasaidia kukinga na maambukizi ya magonjwa ya ngono lakini sio kwa 100% sasa jambo la muhimu ni kwenda kucheki afya yako kama uko poa achana na huo mtindo wa maisha.
Nikweli mkuu, ila nivema kujitambua tuShida ni kuutii huo umakini
Uhhh, this is debate....Kuwa makini zaidi , siku hizi kuna kinywaji ukinywa kama ni positive.kile kipimo kinakuonyesha upo negative.
Njia nzuri ya kumpima mtu ni lala nae usiku kucha ai shinda nae mchana hakikisha hanywi COCACOLA, Mda wa masaa ata 12 mkiamka asubuhi mkapime.
Mgonjwa wa HIV akinywa cocacola kipimo kinaonyesha negative.
Na hiyo njia waathirika wengi wanaijua hivyo ukimwambia kupima anatoka nyumbani akiwa kajishindilia cocacola akifika kupima unakuta negative
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona vijana hufunguwa majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utahalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.
ujumbe
ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama tumejisahau kuwa ukimwi upo, in fact , kama huna maambukizi huwezi feel! ila ndugu zetu wengine walio pata maambukizi kwa sababu mbalimbali wao wanafeel na wananielewa nini nazungunza! ngono zembe, ni hatari, siku hizi HIV Tester zipo katika maduka ya madawa, nenda ukajipime na mwenza wako, usienda na mtu bila kupima, tuacheni michezo ya kujichezeaa kamali katika maisha yetu.
tujihadhali, ukimwi bado upo,
Sidhani Kama utakuwa na hayo mawazo,bali mawazo yatakayo kujia hapo ni kwenda kulipiza kisasi na ww Kama anavyofanya mjomba wake #witnessJNikiumwa huu ugonjwa najimaliza tu, siwapi nafasi virusi wanitese.
Tuanze na wew...jifafanueHumu ndani Kila mtu analeta story za watu wengine hakuna hata anayekiri kuwa ameukwaa yan humu wote ni wazma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapima ili iweje sasa?huyo Virus mwenyewe hv yukoje mwenye picha tafadhari anionyeshe.Naona vijana hufunguwa majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utahalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.
ujumbe
ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama tumejisahau kuwa ukimwi upo, in fact , kama huna maambukizi huwezi feel! ila ndugu zetu wengine walio pata maambukizi kwa sababu mbalimbali wao wanafeel na wananielewa nini nazungunza! ngono zembe, ni hatari, siku hizi HIV Tester zipo katika maduka ya madawa, nenda ukajipime na mwenza wako, usienda na mtu bila kupima, tuacheni michezo ya kujichezeaa kamali katika maisha yetu.
tujihadhali, ukimwi bado upo,
Hawana utu kabisa wale...manesi sijui kwanini wako vile[emoji134]Natamani ufanyike uafiti wa idadi ya vifo vya watu wanaojinyonga baada ya kupewa majibu ya VVU kwa style "kijeshi"
Zamani mtoa ushauri anaangalia "mhemuko" wa mgonjwa kabla hajampa majibu yake na ikibidi anakwambia njoo kesho ili kumpa nafasi ya kujitafakari...sasa hivi bi dada nesi anakupa majibu yako huku anachati insta, ukiangua kilio anakuuliza " cha ajabu nini?
Kibaya zaidi na dawa unapewa siku hiyo hiyo...
Huyu anazingua huyu [emoji16]...kufa mchezo!Sidhani Kama utakuwa na hayo mawazo,bali mawazo yatakayo kujia hapo ni kwenda kulipiza kisasi na ww Kama anavyofanya mjomba wake #witnessJ
Sent using Jamii Forums mobile app