Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Vinapatikana kwa mbinde kama ulivyosema!

Kitaa hupati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huwa inakuwaje eti??

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukifanya sex ya kawaida ni asilimia ndogo (nishasahau exactly ni kiasi gani).... Pia sasa hivi kwa matumizi ya ARV inayoshusha viral load to undetectable level maambukizi yameshuka sana. Mtu mwenye viral load undetectable hawezi kuambukiza kama vile tu mtu asiyekuwa na mdudu kabisa
 
Kusex na mtu mwenye HIV haimaanishi kuwa ndiyo umeshaupata mkuu
Yah yan nasemea ndy unakutana nae then mnaanza mahusiano hata ndani ya miez minne na kwa maisha ya saiv, kuvumiliana wiki 2 tu ni mtihani so kwa mara ya kwanza, tahdhr ipo but for the coming days, huyo boy lazima aungue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…