Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Viral load ikiwa undetectable labda awanyunyuzie damu Lita moja.... It is difficult my dear.

Hivi unajua kwa mwanaume kuambukizwa na mwanamke HIV chance yake ni 0.38%, tena hapa ni kwa yule ambaye hatumii dawa?
Haki nimeogopa sana[emoji848][emoji848]...

Huu ugonjwa sio vizuri kumcheka mtu kabisa, unajua kwanini?

Ni bahati mbaya kama bahati mbaya/ ajali kama zingine zozote!

Hebu ona kuambukizana ilivyo ngumu? Ndo maana mtu hujiuliza maswali sana akiupata!

But mkuu, nasikia tigo ndio inaongoza kwa kupatisha ukimwi, yaan nasikia ile ni kugusa tu eti kweli?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha swali hapa!

Eti ni kweli Bioline ikikupa majibu + na ukaenda kwenye kipimo kikubwa ni mara chache sana kupata _ results?

Ni kwanini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii umeandika kinyume, Bioline haina False negative ikikupa majibu ya negative basi jua ni negative.

Determine ndiyo huwa na specificity
 
Ni vyema tukajilinda ili tusije kujutua baada

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Yes chance risk yake ni kubwa sana, especially kwa wasiotumia kilainishi
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] huu ugonjwa ulikuja pabaya....mm huwa nasema n ngumu kukikinga na ukimwi aisee hasa kwa watu walio ktk mahusiano na ndoa,coz mtapima Leo mtakuta fresh keshokutwa mwenzio anachepuka anakuletea HIV ......yaan n ngumu sana jmn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N kweli ndio....tigo n kugusa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…