witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Haki nimeogopa sana[emoji848][emoji848]...Viral load ikiwa undetectable labda awanyunyuzie damu Lita moja.... It is difficult my dear.
Hivi unajua kwa mwanaume kuambukizwa na mwanamke HIV chance yake ni 0.38%, tena hapa ni kwa yule ambaye hatumii dawa?
Huu ugonjwa sio vizuri kumcheka mtu kabisa, unajua kwanini?
Ni bahati mbaya kama bahati mbaya/ ajali kama zingine zozote!
Hebu ona kuambukizana ilivyo ngumu? Ndo maana mtu hujiuliza maswali sana akiupata!
But mkuu, nasikia tigo ndio inaongoza kwa kupatisha ukimwi, yaan nasikia ile ni kugusa tu eti kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app