Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

1. HIV induced psychosis
2. HIV associated nephropathy
3. HIV stage 4 with cryptococcus meningitis
4. Hiv stage 4 with cryptosporidiosis
5.HIV stage 4 with Pneumocystis jirovenci pneumonia
6. Anaemia sec to HIV
Hizo ni common ishu Kwa wagonjwa wa HIV namba 5 ni deadly Sana mgonjwa Anakatika faster, namba 4 mgonjwa anaweza akarudi
Bado kuna toxoplasmosis, kunia HIV related lymphoma. Hii mambo achana nayo ni hatari.
FIGO KUFA (no 2 Na TENOFOVIR vyote vinachangia)
 
S Sema kwa wanandoa wanaoathirika kwa kuendekeza ufuska naona wanastahili vifo vya aibu. What the Fuuuc!!! Mtu ukishaolewa na kuoa si yapaswa kutulia na ulie mchagua!
 
Kama mwanamke ana gonorrhoea au syphilis hata ukichovya kidogo kama asali kwenye kopo ni lazima upate maambukizi hata kama haujasugua papuchi

Mkorintho wa 6
 
acheni kudanganyana ukimwi ni propaganda za wazungu wakina Robert Gallo.nani kashawahi kumuona H.I.V kwenye maisha yake aseme hapa yukoje .hakuna kitu kinachoitwa HIV.ukimwi ni imani kama imani nyingine tu but its not real
Kuna swali linalosumbua ni je,kama ukimwi haupo,ni kitu gani kinaua watu?
au ndo kusema ukishaambiwa unao,unamalizwa na hofu?
 
Daah una maneno yenye kutia faraja na mazuri mkuu..

Barikiwa[emoji120]



Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, najaribu kuelezea haya kwakua yupo dada yangu anaugonjwa huu na tunamtegemea sana kwani hakuna anachotuficha kuhusu hali yake. Mwanzoni tulikua na hofu ya maisha yake kuwa mafupi lakini sasaivi hatuna wasi wasi tena

Juzi tu amepima kipimo cha Ukimwi kile cha Unigold ameonekana mzima, na hiyo sio mara ya kwanza na amaeleza kuwa inatokana na kuzingatia dawa za ARVs pamoja na zile za kuzuia maambukizi. Picha nitatuma hapa ili watu wajue kumpima mtu bado haitoshi kumwamini

Mkorintho wa 6
 
πŸ˜„πŸ˜ƒ Abdala kichwa wazi
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lawama hizo,hapo utaondoka na misonyo ya kukutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…