witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Basi huna shukrani.....Huyu umem download wapi boss. Mzuri thou. kama unafanana nae hongera sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi huna shukrani.....Huyu umem download wapi boss. Mzuri thou. kama unafanana nae hongera sana.
Huyu atakuwa mlaji wa kitimoto kama wewe kweli?[emoji81][emoji81][emoji81]Sawa mkuu...
Magnum bareskin, huzipati bongo! Aliwahi niletea shemeji yangu mmoja anaeishi kwa Trump! Sensation yake kama kavu tu by 90%
Hkn kipimo cha hivyo usijidanganye. Kipimo cha kuonyesha maambukizi ya wakati wowote ni DNA PCR ambacho kipo Hosp chache sana[emoji192] [emoji192]Nitarudia mkuu,japo nilitumia kipimo moja matata hata kama umeudaka jana kinakupa results.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina depend na stage kuna mzee mmj watoto wake wana pesa balaa, ana Kansa ya mifupa mwaka wa 10 sasa, huwa matibabu India na nchi za ulaya[emoji44][emoji44]Cancer una kaa miezi Sita tu [emoji22][emoji22]
Anamdanganya mwenzake, damu ht ichukuliwe mguuni, kwenye uume, kwenye anus, kichwani result ni ze same. Mimi nipo kwenye afya najua nnachoongea
Sema kwa wanandoa wanaoathirika kwa kuendekeza ufuska naona wanastahili vifo vya aibu. What the Fuuuc!!! Mtu ukishaolewa na kuoa si yapaswa kutulia na ulie mchagua!Kwenye ndoa ni majanga,kiutaratibu tu wenzi wakishakuwa kwenye ndoa swala la kinga halipo.
Sasa hapa unakuta hawa wenzi katika shughuli zao za kila siku wakakutana na watu wengine wakasema tuonjeshane kidogo sasa hii kuonjeshana inaweza kuwa kavu si swala la chap chap mtu anabeba tatizo anapeleka kwa mwenzie kimya kimya.
Mziki huwa unakuja kubumbuluka wakianza kupata vihoma vya mara kwa mara wanaenda kupima wanaanza kushangaana vimetoka wapi.
[emoji838]
Ndio hio window periodNadhani virus wana incubation period toka mtu ameambukizwa mpaka nae aweze kuambukiza wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hio window period
Kama mwanamke ana gonorrhoea au syphilis hata ukichovya kidogo kama asali kwenye kopo ni lazima upate maambukizi hata kama haujasugua papuchiYaaan mi ningekuwa mwanaume nisingesugua K wala nini[emoji848]...kwanza ili nigundue nini?
Ningejiwekea pilau tuangalie mi na demu wangu akilowana na mimi nimedindisha karibia napiz, namuingizia dudu fasta nakojoa nachomoa!...yy akitaka kukojoa atajiju[emoji57]
Nisingesugua K kamwe mweeh!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha hahaha!!! Ndo uache sasa!!...ila mbunye tamu jamani[emoji125][emoji125]
Umeandika vizuri sana mamake!!
Kuna swali linalosumbua ni je,kama ukimwi haupo,ni kitu gani kinaua watu?acheni kudanganyana ukimwi ni propaganda za wazungu wakina Robert Gallo.nani kashawahi kumuona H.I.V kwenye maisha yake aseme hapa yukoje .hakuna kitu kinachoitwa HIV.ukimwi ni imani kama imani nyingine tu but its not real
Asante, najaribu kuelezea haya kwakua yupo dada yangu anaugonjwa huu na tunamtegemea sana kwani hakuna anachotuficha kuhusu hali yake. Mwanzoni tulikua na hofu ya maisha yake kuwa mafupi lakini sasaivi hatuna wasi wasi tenaDaah una maneno yenye kutia faraja na mazuri mkuu..
Barikiwa[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kila pharmacy vinapatikana,au ni maduka maalum? maana umesema jambo la msingiHaaahaaa[emoji16][emoji16] we jamaa...jipime tu kwanza vipimo si viko pharmacy
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni ninyi wadada mtu anakwambia zinamuwasha,Kupima na kutumia condom vyote viende sambamba....usimuamini binadamu hata siku moja!
Sent using Jamii Forums mobile app
😄😃 Abdala kichwa waziWatu wengi hawajali afya zao kwa sababu hawajui status zao, na suala la kupima limekuwa mtihani mkubwa sana. Ukipima then ukajiona uko safe, halafu ukakumbuka dhambi za kugegeda ulizofanya, ukakumbuka mazingira uliyowahi kujihatarisha kwa sababu ya kumuendekeza Abdala Kichwa Wazi, hakika huwezi kurudia kuuza mechi kizembe.
Kama unajali, anza kupima kwanza, then baada ya hapo utakuwa makini na kamwe hutakubali kumuamini mtu kirahisirahisi! Aids is real!
😂😂😂 lawama hizo,hapo utaondoka na misonyo ya kukutosha.Yaaan mi ningekuwa mwanaume nisingesugua K wala nini[emoji848]...kwanza ili nigundue nini?
Ningejiwekea pilau tuangalie mi na demu wangu akilowana na mimi nimedindisha karibia napiz, namuingizia dudu fasta nakojoa nachomoa!...yy akitaka kukojoa atajiju[emoji57]
Nisingesugua K kamwe mweeh!..
Sent using Jamii Forums mobile app