Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

1. HIV induced psychosis
2. HIV associated nephropathy
3. HIV stage 4 with cryptococcus meningitis
4. Hiv stage 4 with cryptosporidiosis
5.HIV stage 4 with Pneumocystis jirovenci pneumonia
6. Anaemia sec to HIV
Hizo ni common ishu Kwa wagonjwa wa HIV namba 5 ni deadly Sana mgonjwa Anakatika faster, namba 4 mgonjwa anaweza akarudi
Bado kuna toxoplasmosis, kunia HIV related lymphoma. Hii mambo achana nayo ni hatari.
FIGO KUFA (no 2 Na TENOFOVIR vyote vinachangia)
 
S
Kwenye ndoa ni majanga,kiutaratibu tu wenzi wakishakuwa kwenye ndoa swala la kinga halipo.
Sasa hapa unakuta hawa wenzi katika shughuli zao za kila siku wakakutana na watu wengine wakasema tuonjeshane kidogo sasa hii kuonjeshana inaweza kuwa kavu si swala la chap chap mtu anabeba tatizo anapeleka kwa mwenzie kimya kimya.
Mziki huwa unakuja kubumbuluka wakianza kupata vihoma vya mara kwa mara wanaenda kupima wanaanza kushangaana vimetoka wapi.

[emoji838]
Sema kwa wanandoa wanaoathirika kwa kuendekeza ufuska naona wanastahili vifo vya aibu. What the Fuuuc!!! Mtu ukishaolewa na kuoa si yapaswa kutulia na ulie mchagua!
 
Yaaan mi ningekuwa mwanaume nisingesugua K wala nini[emoji848]...kwanza ili nigundue nini?

Ningejiwekea pilau tuangalie mi na demu wangu akilowana na mimi nimedindisha karibia napiz, namuingizia dudu fasta nakojoa nachomoa!...yy akitaka kukojoa atajiju[emoji57]

Nisingesugua K kamwe mweeh!..


Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mwanamke ana gonorrhoea au syphilis hata ukichovya kidogo kama asali kwenye kopo ni lazima upate maambukizi hata kama haujasugua papuchi

Mkorintho wa 6
 
acheni kudanganyana ukimwi ni propaganda za wazungu wakina Robert Gallo.nani kashawahi kumuona H.I.V kwenye maisha yake aseme hapa yukoje .hakuna kitu kinachoitwa HIV.ukimwi ni imani kama imani nyingine tu but its not real
Kuna swali linalosumbua ni je,kama ukimwi haupo,ni kitu gani kinaua watu?
au ndo kusema ukishaambiwa unao,unamalizwa na hofu?
 
Daah una maneno yenye kutia faraja na mazuri mkuu..

Barikiwa[emoji120]



Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, najaribu kuelezea haya kwakua yupo dada yangu anaugonjwa huu na tunamtegemea sana kwani hakuna anachotuficha kuhusu hali yake. Mwanzoni tulikua na hofu ya maisha yake kuwa mafupi lakini sasaivi hatuna wasi wasi tena

Juzi tu amepima kipimo cha Ukimwi kile cha Unigold ameonekana mzima, na hiyo sio mara ya kwanza na amaeleza kuwa inatokana na kuzingatia dawa za ARVs pamoja na zile za kuzuia maambukizi. Picha nitatuma hapa ili watu wajue kumpima mtu bado haitoshi kumwamini
1554503169510.jpg
1554503185930.jpg


Mkorintho wa 6
 
Watu wengi hawajali afya zao kwa sababu hawajui status zao, na suala la kupima limekuwa mtihani mkubwa sana. Ukipima then ukajiona uko safe, halafu ukakumbuka dhambi za kugegeda ulizofanya, ukakumbuka mazingira uliyowahi kujihatarisha kwa sababu ya kumuendekeza Abdala Kichwa Wazi, hakika huwezi kurudia kuuza mechi kizembe.

Kama unajali, anza kupima kwanza, then baada ya hapo utakuwa makini na kamwe hutakubali kumuamini mtu kirahisirahisi! Aids is real!
😄😃 Abdala kichwa wazi
 
😂
Yaaan mi ningekuwa mwanaume nisingesugua K wala nini[emoji848]...kwanza ili nigundue nini?

Ningejiwekea pilau tuangalie mi na demu wangu akilowana na mimi nimedindisha karibia napiz, namuingizia dudu fasta nakojoa nachomoa!...yy akitaka kukojoa atajiju[emoji57]

Nisingesugua K kamwe mweeh!..


Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 lawama hizo,hapo utaondoka na misonyo ya kukutosha.
 
Back
Top Bottom