Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Mkuu huyu kwa alipofikia hata akikutana na mtu hawezi mpatia maambukizi kitu kikubwa cha muhimu ni yeye kujilinda asikutane na mtu mwingine mwenye virusi akampasia tena hapo atakuwa kaleta maambukizi mapya.

[emoji838]
 
Endelea kuota huujui uanaume with double heads..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalau once in a while hii ni post nyeti sana. Shukran kwa kukumbusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
babuu shemeji yako alikuletea condom!!!??
Anayway, huwa sizitrust hizo thin condom sijui kwa nini. Nimecheki hizo bareskin Amazon zinauzwa dollar 7 kwa 3 in 1.
Jap shemeji yangu sio mzee kama Mengi ni kijana tu wa makamo, Magnum ziko mzuka ni mambo ya ku experience vitu vipya tu. Japo mi sio fan wa mipira ila ule niliukubali. Upo laini tofauti na ile mifuko yenu ya PSI!
 
Me naona ni swala la akili inavyochukulia mgegedo wa ndom tena ndom labda zile mwanamke asizozipenda.. Anawaza hili tendo halitakua na ladha tena.. Anawaza... Anatoa ushrikiano lakin akijua na ndom hainogigi.. Kibailojia K hailowi kutosha wala kurusha katerero usipokua comfortable... K inakua kavu... Anapata michubuko.

Nahisi ndo kinachotokea ase, ndom haileti ukavu ila ni utayari wako tu kupokea kitu cha ndom.. tena ile unayoipenda kimkuno
 
Dah.. ni mara chache sana huwa nasoma uzi wenye page 30+ kuanzia mwanzo hadi mwisho ila huu nimeanza kuusoma tangu jana saizi ndio namaliza. Kwakweli kuna mengi ya kujifunza na ni muhimu tuendelee kukumbushana maana hapa katikati ni kama vile umaarufu wa huu ugonjwa umeshuka na watu hawauzungumzii tena sana. Unaweza kudhani haupo tena.

MASWALI:
1. Kuna sehemu nimewahi kusoma kwamba mtu ukiambukizwa mfano leo, baada ya muda kama wiki 1 - 2 mwili hu react na unaweza kupata homa kali then itapoa na hupati tena dalili pengine mpaka baada ya miaka kadhaa. Hili lina ukweli wataalamu?

2. Ni nini kimepelekea siku hizi mtu ukipima ukakutwa + unapewa dawa hapo hapo hata kama huumwi chochote? Wakati wataalamu wanasema unaweza kuishi na HIV kwa miaka mingi bila kuanza kuugua AIDS? Na ukizingatia ARV zenyewe zina side effects kibao?

Asanteni.
 

Mkuu kiuhalisia wanawake wanachukia condom kuliko sisi wanaume. Ndio maana ukiivaa tu ukavu unakuja wenyewe automatically na pale anakua anafanya tu kukuridhisha wewe ila yeye hayupo tena.
Hata sisi wanaume kuna saa nyingine ukivaa ndom hadi jogoo analala kabisa na mzuka wote unapotea hasa kama uko na mtu uliemzoea.
 
Naomba nilijibu swali namba 2.

Huwenda wameona mtu akitumia dawa virusi vinafubaa uwezo wa kusambaza unapungua ndio maana wanawaanzishia chap na hili limesaidia sana.

kwa wanawake akishajulikana ana mimba na ni + anaanzishiwa dawa hapo hapo ikiwa ni moja ya juhudi za kumkinga mtoto.

[emoji838]
 
Ubarikiwe kwa maswali mazuri
Cc. Esky Eslat, Papa Mohimba, Omerta.
 
Kila kifo lazima kiwe na sababu na hizo sababu hatupangi au kuchagua sisi ni nature ndiyo inayochagua sababu ya kifo cha mtu.kwaiyo kama sababu ya kifo chako itakua ukimwi ndugu hata ujifiche wapi utaupata tu.Ndio ukimwi upo na tunatakiwa tuwe makini lakini ifike tu mahali tujue kua kuna mambo ni zaidi ya uwezo wetu wakibinadamu.Kwaiyo inapobidi ishi tu unavyoweza.Kinachotusumbua uku kwetu ni mapokeo ya jinsi ukimwi ulivyopokelewa.Ila laiti ukimwi ungechukuliwa kama ugonjwa wa kawaida japo wa hatari kama ilivyo saratani,homa ya ini,kisukari,presha hali isingekua hivi kuhusu ukimwi.
 
Umeongea kitaalam sana hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…