Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Mkuu ulipima wapi ukaambiwa hauna CCR5 receptor.... Km ni kweli mkuu hongera
 
Mkuu ulipima wapi ukaambiwa hauna CCR5 receptor.... Km ni kweli mkuu hongera
Mkuu fafanua hiyo CCR5 receptor ni mtu au ni nin ili nisipate kaz ya kwenda ku-google...ntajiongeza nisipoelewa vizur. Kwahy jitahid uandike kila kitu
 
Hivi maambukizi ya jumla kwa Tz ndani ya miaka minne iliyopita yamepanda au yameshuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…