Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

mm alikuja sehemu ya tukio na vipimo vyake , tukajipima wote kabla ya mechi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hii nayo unafikiri inasaidia sana anaweza kuja leo na vipimo mkacheki kumbe wiki mbili nyuma alikutana na mtu na vipimo huwa ndani ya miezi miwili ya mwazo hakionyeshi maambuki kama mtu anakuwa amepata hivyo katika hicho kipindi kama alipata maambukizi anakupasia.
 
Ukimwi haupimwi kwa siku moja brother, Je unafahamu kuwa CD4 zikipanda mwenye virus anaweza kupima na akaonekana mzima? Waliopata ukimwi wote hawakupenda na pengine walijitunza sana kuliko wewe.

Ukimwi hautabiriki, na sikuizi kuna njia nyingi za kupunguza kasi ya virus kishambulia seli lakini hiyo haimaanishi hauwezi kuenea kama ngono zitafanyika kizembe namna hiyo.

Kuna dada tunaheshimiana sana na huwa ananiomba ushauri mara nyingi akipata tatizo. Yeye anaishi na virus vya ukimwi kwa miaka mingi sana lakini ukimuona huwezi kumjua na ameumbika haswaa.

Kuna tembe fulani zinaitwa PEP na PREP, hizi zinatumika kuzuia maambukizi pia mama wajawazito wenye maambukizi hutumia dawa hizi kumkinga mtoto dhidi ya maambukizi.

Aliniambia yeye huwa akizitumia dawa hizo Japo ni mwathirika lakini ukimpima akiwa ameshatumia dawa hizo huwezi kupata reaction kwamba yeye ni HIV +. Kuna jamaa ameishi naye kama mchumba wake kwa muda sana bila kujua mwanamke ni mgonjwa maana walienda kupima akaonekana ni mzima.

Kwaiyo cheza salama lakini ikitokea bahati mbaya umepata maambukizi sio mwisho wa maisha, sikuizi wenye ukimwi wanaishi maisha marefu pia ukipima ukawa salama usijiamini sana kwamaana leo wewe ni mzima kesho utakua mgonjwa, kuugua sio kufa.

Nina dada yangu wa tumbo moja alipata maambukizi hayo mwaka 1993 kipindi ambacho Ukimwi ulikua ni tishio sana, amezaa watoto wanne (4) na wote wako salama. Hajawai kuwanyonyesha lakini wote wamekua.

Leo hii tunaongea ametimiza miaka 26 akiwa na HIV lakini ukikutana naye pamoja na kuwa ni mgonjwa huwezi kuamini. Ana shape nzuri na mwili wake umenawiri kama binti alieanza kubalehe, matiti yake bado yamesimama pamoja na umri wake.

Kama Mzima mshukuru Mungu na uache zinaa na kutamani wanawake wazuri, shetani hupenda kukaa sehemu nzuri.

Mkorintho wa 6
 
[emoji106]
 
Humu JF usiamini kila kitu,mtu anaweza leta thd kua anawabandua mademu kinoma tena bila kinga,kumbe ni chai tu ya kufurahisha baraza,sasa wewe utasoma thd kisha unakwenda kufanya kweli! kua makini sana na JF,pia ishi kwa akili yako,
 
mm alikuja sehemu ya tukio na vipimo vyake , tukajipima wote kabla ya mechi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna dem nlimwambia lazima tupime akakataa nikamwambia pita hivi..... Kenge mkubwa ww Punguani
Akaanza kulia oooh tumia kondom nikamwambia Sawa ila kupima lazima Sio ombi akagoma tena nikamwambia hunipata shindwaaaa pepo......
Tokaaaa shetan shindwaaaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umenena Vema mwenye masikio amekusikia. Tatizo papuchi nazo zimekua rahisi sana kuzi access now days... mambo... poa umeng'oa.
 
Ushaur wako ni mzuri. Hayo ya baada ya nyie kwenda kupima nawaachia nyie wawili wahusika
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ulifanya jambo La maana.
 
This is an idea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…