Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

goldcall

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
416
Reaction score
567
Naona vijana hufungua majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utaalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.

Ujumbe ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama tumejisahau kuwa ukimwi upo, in fact , kama huna maambukizi huwezi feel! ila ndugu zetu wengine walio pata maambukizi kwa sababu mbalimbali wao wanafeel na wananielewa nini nazungunza! ngono zembe, ni hatari, siku hizi HIV Tester zipo katika maduka ya madawa, nenda ukajipime na mwenza wako, usiende na mtu bila kupima, tuacheni michezo ya kujichezeaa kamali katika maisha yetu.

Tujihadhali, ukimwi bado upo,
 
Huu uzi utakua na idadi kubwa sana ya watazamaji lkn itakosa wachangiaji... Anyway ni kawaida yetu hatutak kuambiwa ukweli...
Asante mkuu kwa kutukumbusha ukweli huu mchungu japo HIV sio miongoni mwa magonjwa tishio tena kama ilivyokua hapo awali
 
Natamani nyuzi nyingi ziwe zinahamasisha hili suala, ili tuweze kujihadhari zaidi.....lasivyo tutabaki tukiwanyooshea watu vidole tu;kwa nini fulani anapenda kuvaa koti muda wote,kwa nini fulani anapenda tufanye kwenye giza,kwa nini fulani siku hizi ananyoa kipara tu,kwa nini fulani siku hizi amekuwa model n.k
 
Naona vijana hufunguwa majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utahalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.
ujumbe
ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama tumejisahau kuwa ukimwi upo, in fact , kama huna maambukizi huwezi feel! ila ndugu zetu wengine walio pata maambukizi kwa sababu mbalimbali wao wanafeel na wananielewa nini nazungunza! ngono zembe, ni hatari, siku hizi HIV Tester zipo katika maduka ya madawa, nenda ukajipime na mwenza wako, usienda na mtu bila kupima, tuacheni michezo ya kujichezeaa kamali katika maisha yetu.
tujihadhali, ukimwi bado upo,
Mkuu watu wanakata kamba balaaaa watu wanakunywa aya madude nendeni hospital mkaone folen watu wanavochukua dawa huwez amin yaan ni watu wengi kinoma yaan ukiwaona utajifunza kitu na umalaya lazima uache
 
Umetukumbusha kitu muhimu

Sent usingJamii Forums mobile app
 
Wiki moja iliyopita nikapata demu,kutokana na kazi yake nikajua huyu anakutana na wanaume kibao,maana mtoto ana sifa zile ambazo wanaume wengi tunaanzia kuzitazama kabla hatujaenda deep,

Nikarusha vocals mtoto akanilewa,na hata tulipopanga kukutana alifika kiroho safi,kuomba mzigo ndipo nilipompendea zaidi,maana alikataa katakata twende tukapime kwanza,condom alisema hapendi kabisa,kwa kuwa sikuwa na shaka huyooo mpaka laboratory tukapima then tukarudi room kupiga show ya kibabe,nilipanga kulala naye usiku mmoja,lakini kwa kuonesha anajari afya yake nikaongeza na siku ya pili tukala raha na jana ndipo tukarudi sehemu zetu za kazi.

Wanawake wakiwa na msimamo kama wa huyu demu hakika UKIMWI tutauepuka,maana wanaume huwa hatukumbuki kabisa swala la afya pale kichwa cha chini kikizidiwa.
 
Naona vijana hufunguwa majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utahalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.
Umeongea kweli kabisa mkuu.
 
mkuu watu wanakata kamba balaaaa watu wanakunywa aya madude nendeni hospital mkaone folen watu wanavochukua dawa huwez amin yaan ni watu wengi kinoma yaan ukiwaona utajifunza kitu na umalaya lazima uache
Sehemu gani iyo ya kuchukuwa dawa?
 
Back
Top Bottom