goldcall
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 416
- 567
Naona vijana hufungua majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utaalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.
Ujumbe ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama tumejisahau kuwa ukimwi upo, in fact , kama huna maambukizi huwezi feel! ila ndugu zetu wengine walio pata maambukizi kwa sababu mbalimbali wao wanafeel na wananielewa nini nazungunza! ngono zembe, ni hatari, siku hizi HIV Tester zipo katika maduka ya madawa, nenda ukajipime na mwenza wako, usiende na mtu bila kupima, tuacheni michezo ya kujichezeaa kamali katika maisha yetu.
Tujihadhali, ukimwi bado upo,