witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Nimewekwa mtu kati[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakufatilia comments zako mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewekwa mtu kati[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakufatilia comments zako mama
Km malengo yake ni kuambukiza basi amefeli.... Akitaka malengo haya yatimie basi na yeye ajimalize kwa kuacha kutumia dawa na dalili ya mtu anayeacha kutumia dawa utaona afya yake inazorota na magonjwa nyemelezi yanamuandama na sometime is very difficult kurudisha afya njema
Kabisa ila ndugu usifikir kupima n mchezo,hiyo presha ya kusubir majibu sio ya kitoto[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kapime tena mkuu.
Unaambukizwa alafu unabaki kuwaza umeutoa wapi[emoji134][emoji134][emoji134]
Kuna wengine wanatoa ushuhuda hawatumii dawa na Afya iko njemaKm malengo yake ni kuambukiza basi amefeli.... Akitaka malengo haya yatimie basi na yeye ajimalize kwa kuacha kutumia dawa na dalili ya mtu anayeacha kutumia dawa utaona afya yake inazorota na magonjwa nyemelezi yanamuandama na sometime is very difficult kurudisha afya njema
Hata mimi niwapongeze sana sana wadada wa hivi,,Mkuu kama kuna uwezekano hii comment yako ingekuwa Instagram ndo ingesomwa sana sana na wadada kwani wadada wana nafasi kubwa sana sana ya kutulinda kwasababu unapomtongoza mdada unaomba mahusiano nae hivyo unakuwa Mpole akikuambia mpaka tukapime kwanza kwanini ukatatae wakati unahitaji papuchi,tena anakuwa na ujasiri wa kukuambia ili nikukubali lazima tukapime kwanza tofauti na mwanaume unaweza kuhisi nikimwambia tukapime wakati hajanikubalia anaweza kunihisi nimemuona malaya na anaweza kuninyima.Ila kwa mwwanamke ni tofauti anakuwa na nguvu ya kusema hili na lile mwanzoni kabisa...Wiki moja iliyopita nikapata demu,kutokana na kazi yake nikajua huyu anakutana na wanaume kibao,maana mtoto ana sifa zile ambazo wanaume wengi tunaanzia kuzitazama kabla hatujaenda deep,
Nikarusha vocals mtoto akanilewa,na hata tulipopanga kukutana alifika kiroho safi,kuomba mzigo ndipo nilipompendea zaidi,maana alikataa katakata twende tukapime kwanza,condom alisema hapendi kabisa,kwa kuwa sikuwa na shaka huyooo mpaka laboratory tukapima then tukarudi room kupiga show ya kibabe,nilipanga kulala naye usiku mmoja,lakini kwa kuonesha anajari afya yake nikaongeza na siku ya pili tukala raha na jana ndipo tukarudi sehemu zetu za kazi.
Wanawake wakiwa na msimamo kama wa huyu demu hakika UKIMWI tutauepuka,maana wanaume huwa hatukumbuki kabisa swala la afya pale kichwa cha chini kikizidiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lilitoka mzee babaPepo lilitoka?
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Mfano rahisi HIV ni kama jambazi anaua walinzi nyumbani kwako,mwishowe hata vibaka wanakuibia.Mkuu embu kawaulize wazungu kama walishawai kumuona hiv virus. Waulize pia tangu lini upungufu wa kinga mwilini ukasababishwa na virus.
Ukimwi ni biashara kama biashara nyingine
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwasababu ili uwe na maambukizi unahitaji kuwa na virus wa kutosha kwenye mzunguko wako wa damu.... Ndiyo maana mtu aliyeambukizwa recently anakuwa na maambukizi makubwa sana kwasababu virus wanakuwa wanazalishwa kwa wingi kwenye mwili wakati huo mwili wako ukipigana kujaribu kushusha hao virus.
Lilitoka mzee baba
Ukimwita anaitika anakuonesha mambo yasiyo onekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, huyu itakuwa aligundua late stages.... Kansa ya ziwa ukiigundua mapema, huwa Ina survival rate nzuri tu.Hapana bali jirani yangu amekufa week mbili zilizo pita alikuwa nayo cancer ya ziwa toka agundue hata miezi mitatu haikufika amefariki 😢😢
I don't know, but is rare cases.... Kuna bwana mmoja ni miaka 14 hajawahi kutumia dawa na viral load ipo kwenye level ya less than 5 copies.... Hizi ni one of the rare casesKuna wengine wanatoa ushuhuda hawatumii dawa na Afya iko njema
Ha ha ha sasa unafikiri na sisi wanaume hatupendi kusugua?
Yah yan nasemea ndy unakutana nae then mnaanza mahusiano hata ndani ya miez minne na kwa maisha ya saiv, kuvumiliana wiki 2 tu ni mtihani so kwa mara ya kwanza, tahdhr ipo but for the coming days, huyo boy lazima aungue
Kwel yaan,maana HV niliviagiza kwa bro wangu mmoja huko mkoanj,yy n nesi ....ila kwenye maduka n mbinde sana yaan......
Nilesepa zanguAisee nguvu ilitumika ilikuwa kubwa sana...
Vipi uliamuru liende wapi au uliliacha tu lishangaeshangae mitaani hahaa
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo