Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Mbona kitombi sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Km malengo yake ni kuambukiza basi amefeli.... Akitaka malengo haya yatimie basi na yeye ajimalize kwa kuacha kutumia dawa na dalili ya mtu anayeacha kutumia dawa utaona afya yake inazorota na magonjwa nyemelezi yanamuandama na sometime is very difficult kurudisha afya njema
 
Km malengo yake ni kuambukiza basi amefeli.... Akitaka malengo haya yatimie basi na yeye ajimalize kwa kuacha kutumia dawa na dalili ya mtu anayeacha kutumia dawa utaona afya yake inazorota na magonjwa nyemelezi yanamuandama na sometime is very difficult kurudisha afya njema
Kuna wengine wanatoa ushuhuda hawatumii dawa na Afya iko njema
 
Wiki moja iliyopita nikapata demu,kutokana na kazi yake nikajua huyu anakutana na wanaume kibao,maana mtoto ana sifa zile ambazo wanaume wengi tunaanzia kuzitazama kabla hatujaenda deep,
Nikarusha vocals mtoto akanilewa,na hata tulipopanga kukutana alifika kiroho safi,kuomba mzigo ndipo nilipompendea zaidi,maana alikataa katakata twende tukapime kwanza,condom alisema hapendi kabisa,kwa kuwa sikuwa na shaka huyooo mpaka laboratory tukapima then tukarudi room kupiga show ya kibabe,nilipanga kulala naye usiku mmoja,lakini kwa kuonesha anajari afya yake nikaongeza na siku ya pili tukala raha na jana ndipo tukarudi sehemu zetu za kazi.
Wanawake wakiwa na msimamo kama wa huyu demu hakika UKIMWI tutauepuka,maana wanaume huwa hatukumbuki kabisa swala la afya pale kichwa cha chini kikizidiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi niwapongeze sana sana wadada wa hivi,,Mkuu kama kuna uwezekano hii comment yako ingekuwa Instagram ndo ingesomwa sana sana na wadada kwani wadada wana nafasi kubwa sana sana ya kutulinda kwasababu unapomtongoza mdada unaomba mahusiano nae hivyo unakuwa Mpole akikuambia mpaka tukapime kwanza kwanini ukatatae wakati unahitaji papuchi,tena anakuwa na ujasiri wa kukuambia ili nikukubali lazima tukapime kwanza tofauti na mwanaume unaweza kuhisi nikimwambia tukapime wakati hajanikubalia anaweza kunihisi nimemuona malaya na anaweza kuninyima.Ila kwa mwwanamke ni tofauti anakuwa na nguvu ya kusema hili na lile mwanzoni kabisa...
 
Mkuu embu kawaulize wazungu kama walishawai kumuona hiv virus. Waulize pia tangu lini upungufu wa kinga mwilini ukasababishwa na virus.
Ukimwi ni biashara kama biashara nyingine


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mfano rahisi HIV ni kama jambazi anaua walinzi nyumbani kwako,mwishowe hata vibaka wanakuibia.
 
Hapa ndo sielewi kwanini hana maambukizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu ili uwe na maambukizi unahitaji kuwa na virus wa kutosha kwenye mzunguko wako wa damu.... Ndiyo maana mtu aliyeambukizwa recently anakuwa na maambukizi makubwa sana kwasababu virus wanakuwa wanazalishwa kwa wingi kwenye mwili wakati huo mwili wako ukipigana kujaribu kushusha hao virus.


Sasa mtu anayetumia dawa maana yake anazuia replication ya wadudu kiasi kwamba mzunguko wa virus kwenye damu inakuwa ndogo sana mpaka katika level ya kuwa labda copies chini ya 5 au undetectable level.... Sasa hapa huyu mtu in terms ya maambukizi na afya yake anakuwa hana tofauti na mtu ambaye hana
 
Hapana bali jirani yangu amekufa week mbili zilizo pita alikuwa nayo cancer ya ziwa toka agundue hata miezi mitatu haikufika amefariki 😢😢
Pole sana, huyu itakuwa aligundua late stages.... Kansa ya ziwa ukiigundua mapema, huwa Ina survival rate nzuri tu.
 
Kuna wengine wanatoa ushuhuda hawatumii dawa na Afya iko njema
I don't know, but is rare cases.... Kuna bwana mmoja ni miaka 14 hajawahi kutumia dawa na viral load ipo kwenye level ya less than 5 copies.... Hizi ni one of the rare cases
 
Yah yan nasemea ndy unakutana nae then mnaanza mahusiano hata ndani ya miez minne na kwa maisha ya saiv, kuvumiliana wiki 2 tu ni mtihani so kwa mara ya kwanza, tahdhr ipo but for the coming days, huyo boy lazima aungue

Siyo lazima mkuu, I have seen people survived hii makitu.... Hivyo kupima ni muhimu sana
 
Aisee nguvu ilitumika ilikuwa kubwa sana...
Vipi uliamuru liende wapi au uliliacha tu lishangaeshangae mitaani hahaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Nilesepa zangu
Juzi Kati aliniona Nipo na mchumba wangu akaniita nikampungia mkono bas
Ukimwi upo Sio Siri mimi Ndiyo huwa Nipo kwenye hicho kitengo kwa hiyo nawaona vijana wadogo wameupata
Wengi walio adhirika ni wanawake

Tena wazur Kwel huwez amin anao
Kwa mara ya kwanza kuona nlishtuka dudu haikusimama wiki nzima shaur ya uoga kuona mrembo amehadhirika tena alikua mwanafunz wa chuo

Tuwe makini nina matukio mengi nliyoona ya hizi mambo
Watu wanakimbiana kabsaaa
Watu wanaangua vilio kabsaa
Daaah hatar fayaaa mzee baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishashuhudia pia jamaa kuna mtu wa karibu aliambukizwa ukimwi...tulisikitika sana...sema ndo hivyo huwezi ku undo

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom