Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ukimwi usikie tu kwa watu... lisikukute

Kuna wakati fulani, miaka kadhaa nyuma, kipindi cha utawala wa mkwere awamu ya pili, nikiwa na miaka 18 Tu... sintokuja sahau maishani kwangu

Nakumbuka ile siku, kuna bimkubwa mmoja nilimtania tu kuhusu game...mimi nikijua n utani kumbe kwa bimkubwa alidhan nilimaanisha, muda tulio kubaliana akafika eneo la tukio.. sina hili wala lile naelekea zangu ghetto mara huyu hapa... kile kiwewe, ndio first time ilikua, ghetto kuna condom box zima wajomba walinunua, nikaogopa kuchua hata ka pact kamoja.. nikaenda mchampa peku viwil... first time experience, nikatoka pale mwepes

sasa kimbembe kama masaa mawili baada ya tukio, alinipiga simu akaniuliza "Hivi Dan ulivyokua unafanya vile ulikua unategemea nini" moyo ukapiga paa.. nikauliza, G, unamaanisha nini, wacha anipe jibu konki "Subiri muda ukifika utanielewa" akakata simu akazima... mai weee, nikajua nimeenda na maji... yaan mara moja tu nakufa hivi hivi... Dan Pol nimekufa kizembe namna hii, kweli mgambo n mgambo... nililia acha tu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilisoma kila kitu kuhusu ukimwi, nikasubir muda ukafika(miez mitatu) kwenda kupima naogopa, huku na huko nikapata demu, condom hataki, nikiwa nafikiria cha kumjibu akaniambia unafikiria nn, kwa lugha nyingne namaanisha tukapime... maiweeee, nilikua mdogo ghafla, ilikua jumapili, akasema twende juma nne nikasema hapana twende alhamis, lengo nipate mda wa kuji cancel kidogo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] achana na hii kitu bana

siku imefika, kutoka hospital ilipo na nilipokua na naishi ni mwendo wa dakika 10.. it was the longest journey of my life, nikifika tukauliza sehemu ya kupima, tukapelekwa kwenye chumba namba 10....ilikua jua la utosi ila nilikua nina vibrate balaa.. mbaya zaid nilikaa usawa wa dirisha la dawa, nilipoona watu wanaokuja kuchukua dawa... nilihisi kufa kufa tu, hawafanani hata kidogo na waathirika... muda ukawadia tukapima, ile hali niliyokua nayo ilikua haielezek, yaan kama mtu angenishtua kwa kupiga tu hata makofi, nahisi ningekufa

Neno nalokumbuka kutoka kwa yule nesi kauli yake yake ya KWASASA NYIE WOTE NI WAZIMA, akashaur shaur pale sikusikia neno hata moja ... ile tumeruhusiwa kutoka tu nilimshika mkono dem wangu mbio, kama kakosea asijesema rudin hapa nimekosea kusoma

Tokea siku hiyo mpaka leo hii, hata mwanamke awe mzuri vipi, kama sina condom na hatujapima, simgus kwa namna yeyote ile, hata nikilala kitanda kimoja na avue nguo zote.. sigusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] huu ugonjwa ulikuja pabaya....mm huwa nasema n ngumu kukikinga na ukimwi aisee hasa kwa watu walio ktk mahusiano na ndoa,coz mtapima Leo mtakuta fresh keshokutwa mwenzio anachepuka anakuletea HIV ......yaan n ngumu sana jmn

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye ndoa ndo kuna balaa sasa!

Humo ni mwendo wa kuleteana tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni because of bacteria wingi wao au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana maumbile ya huko, lkn tunarudi pale pale km viral load ipo chini to undetectable basi hata maambukizi huwa chini.... Ila surprisingly jamaa wametoa takwimu kuwa chance ni 0.11%- sasa sijui wazungu ndiyo wanatuchezea akili ili watu waendelee kutinduana
 
Ukimwi usikie tu kwa watu... lisikukute

Kuna wakati fulani, miaka kadhaa nyuma, kipindi cha utawala wa mkwere awamu ya pili, nikiwa na miaka 18 Tu... sintokuja sahau maishani kwangu

Nakumbuka ile siku, kuna bimkubwa mmoja nilimtania tu kuhusu game...mimi nikijua n utani kumbe kwa bimkubwa alidhan nilimaanisha, muda tulio kubaliana akafika eneo la tukio.. sina hili wala lile naelekea zangu ghetto mara huyu hapa... kile kiwewe, ndio first time ilikua, ghetto kuna condom box zima wajomba walinunua, nikaogopa kuchua hata ka pact kamoja.. nikaenda mchampa peku viwil... first time experience, nikatoka pale mwepes

sasa kimbembe kama masaa mawili baada ya tukio, alinipiga simu akaniuliza "Hivi Dan ulivyokua unafanya vile ulikua unategemea nini" moyo ukapiga paa.. nikauliza, G, unamaanisha nini, wacha anipe jibu konki "Subiri muda ukifika utanielewa" akakata simu akazima... mai weee, nikajua nimeenda na maji... yaan mara moja tu nakufa hivi hivi... Dan Pol nimekufa kizembe namna hii, kweli mgambo n mgambo... nililia acha tu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilisoma kila kitu kuhusu ukimwi, nikasubir muda ukafika(miez mitatu) kwenda kupima naogopa, huku na huko nikapata demu, condom hataki, nikiwa nafikiria cha kumjibu akaniambia unafikiria nn, kwa lugha nyingne namaanisha tukapime... maiweeee, nilikua mdogo ghafla, ilikua jumapili, akasema twende juma nne nikasema hapana twende alhamis, lengo nipate mda wa kuji cancel kidogo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] achana na hii kitu bana

siku imefika, kutoka hospital ilipo na nilipokua na naishi ni mwendo wa dakika 10.. it was the longest journey of my life, nikifika tukauliza sehemu ya kupima, tukapelekwa kwenye chumba namba 10....ilikua jua la utosi ila nilikua nina vibrate balaa.. mbaya zaid nilikaa usawa wa dirisha la dawa, nilipoona watu wanaokuja kuchukua dawa... nilihisi kufa kufa tu, hawafanani hata kidogo na waathirika... muda ukawadia tukapima, ile hali niliyokua nayo ilikua haielezek, yaan kama mtu angenishtua kwa kupiga tu hata makofi, nahisi ningekufa

Neno nalokumbuka kutoka kwa yule nesi kauli yake yake ya KWASASA NYIE WOTE NI WAZIMA, akashaur shaur pale sikusikia neno hata moja ... ile tumeruhusiwa kutoka tu nilimshika mkono dem wangu mbio, kama kakosea asijesema rudin hapa nimekosea kusoma

Tokea siku hiyo mpaka leo hii, hata mwanamke awe mzuri vipi, kama sina condom na hatujapima, simgus kwa namna yeyote ile, hata nikilala kitanda kimoja na avue nguo zote.. sigusi

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kapime tena lkn nakushauri maana majibu ya Mara moja hayatoshi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti Mungu[emoji849][emoji849]....

Mizungu imetengeneza huu ugonjwa wewe, biashara hii....uko dunia ya wapi?[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mambo ni rahisi hivyo.

Basi na sisi waafrika tutengeneze ugonjwa utakaowapata wazungu tu na dawa zake tupige pesa.

Tunakwama wapi sisi wazee wa kulalamika na kulaumu ?
 
Ukimwi usikie tu kwa watu... lisikukute

Kuna wakati fulani, miaka kadhaa nyuma, kipindi cha utawala wa mkwere awamu ya pili, nikiwa na miaka 18 Tu... sintokuja sahau maishani kwangu

Nakumbuka ile siku, kuna bimkubwa mmoja nilimtania tu kuhusu game...mimi nikijua n utani kumbe kwa bimkubwa alidhan nilimaanisha, muda tulio kubaliana akafika eneo la tukio.. sina hili wala lile naelekea zangu ghetto mara huyu hapa... kile kiwewe, ndio first time ilikua, ghetto kuna condom box zima wajomba walinunua, nikaogopa kuchua hata ka pact kamoja.. nikaenda mchampa peku viwil... first time experience, nikatoka pale mwepes

sasa kimbembe kama masaa mawili baada ya tukio, alinipiga simu akaniuliza "Hivi Dan ulivyokua unafanya vile ulikua unategemea nini" moyo ukapiga paa.. nikauliza, G, unamaanisha nini, wacha anipe jibu konki "Subiri muda ukifika utanielewa" akakata simu akazima... mai weee, nikajua nimeenda na maji... yaan mara moja tu nakufa hivi hivi... Dan Pol nimekufa kizembe namna hii, kweli mgambo n mgambo... nililia acha tu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilisoma kila kitu kuhusu ukimwi, nikasubir muda ukafika(miez mitatu) kwenda kupima naogopa, huku na huko nikapata demu, condom hataki, nikiwa nafikiria cha kumjibu akaniambia unafikiria nn, kwa lugha nyingne namaanisha tukapime... maiweeee, nilikua mdogo ghafla, ilikua jumapili, akasema twende juma nne nikasema hapana twende alhamis, lengo nipate mda wa kuji cancel kidogo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] achana na hii kitu bana

siku imefika, kutoka hospital ilipo na nilipokua na naishi ni mwendo wa dakika 10.. it was the longest journey of my life, nikifika tukauliza sehemu ya kupima, tukapelekwa kwenye chumba namba 10....ilikua jua la utosi ila nilikua nina vibrate balaa.. mbaya zaid nilikaa usawa wa dirisha la dawa, nilipoona watu wanaokuja kuchukua dawa... nilihisi kufa kufa tu, hawafanani hata kidogo na waathirika... muda ukawadia tukapima, ile hali niliyokua nayo ilikua haielezek, yaan kama mtu angenishtua kwa kupiga tu hata makofi, nahisi ningekufa

Neno nalokumbuka kutoka kwa yule nesi kauli yake yake ya KWASASA NYIE WOTE NI WAZIMA, akashaur shaur pale sikusikia neno hata moja ... ile tumeruhusiwa kutoka tu nilimshika mkono dem wangu mbio, kama kakosea asijesema rudin hapa nimekosea kusoma

Tokea siku hiyo mpaka leo hii, hata mwanamke awe mzuri vipi, kama sina condom na hatujapima, simgus kwa namna yeyote ile, hata nikilala kitanda kimoja na avue nguo zote.. sigusi

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]...Yule bimkubwa alikupiga jamba jamba ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana maumbile ya huko, lkn tunarudi pale pale km viral load ipo chini to undetectable basi hata maambukizi huwa chini.... Ila surprisingly jamaa wametoa takwimu kuwa chance ni 0.11%- sasa sijui wazungu ndiyo wanatuchezea akili ili watu waendelee kutinduana
Hebu ngoja hapa!

Unaposema undetectable viral load si unamaanisha just small quantities of HIV virus in bloodstream ambavyo havioneshi ktk blood test? Si ndio??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana dear!

Kuna demu mmoja alikuwa mbishi ( fellow staff) akakataa ARV...asee alinyonyoka nywele, akakonda, almanusura afe!

Tulivyompa ushauri hivo hivo kimagumashi, tukampeleka hospital akapewa dawa akaanza kutumia!

Kimbembe zikiisha hataki kwenda kituoni ananituma mimi, mi sinaga hiyana nikawa namchukulia nampa!

Sasa hivi kahamishwa mkoa kikazi, sasa hata kule hataki kwenda kituo kuchukua anataka nimfatie kituoni hapa dar halafu nimtumie kwenye basi[emoji849][emoji849]

Ntatumia njia nzuri tena kumuelewesha aende kituoni huko aliko achukue maana na mimi niko busy hiyo kazi yake inakaribia kunishinda!

Sent using Jamii Forums mobile app
Una roho Nyeupe sana best ubarikiwe
 
Aise sitaacha punyeto mara moja moja mpaka apo ntakapopata ela na kuchagua mwanamke mmoja atakae nifaa, mara ya mwsho kugongana ni mwaka jana mwez wa 8, sigongi tena mpaka nipate ajira then nioe
 
Back
Top Bottom