Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Akipewa uraia na ubaguzi wake unaondoka automatically ?
Tukienda kwenye viwanda vyake kwenye managerial positions tutakuta rangi gani wengi?
Ila umeelewa
UJINGA ni mtaji mkubwa wa watawala, Asas ni businessman sio politicians,...unajua wewe utajiri wake huu umetokana na nini?,Songea kule hawa jamaa wameua tembo wetu wengi tu,na sasa wanakuwa rewarded na vyeo hivi ili wajifiche zaidi, it's craze
Wewe ndio umejawa na chuki mana huwathamini waafrika wenzako.
Kwa hizo unaona ni sawa hata jambazi likiua ndugu yako na kupora fedha Kisha likatajirika ndio tulipongeze Badala ya kufanya mbinu ya kulikamata na kuliua jambazi. Mnahamasisha uhalifu na wizi wa Mali za umma badala ya kuhamasisha uadilifu.
Na mkiendelea kukumbatia wezi mjue mgomo mkubwa utakuja na wahuni hawana hasara mana wao Wana magunia ya pesa wanazogawana .
Hii nchi huijui na wahuni hujui wanavyoliumiza Taifa. Hakuna mtu anategemea kupewa chakula na mhindi au mwarabu bila kazi ya kitumwa kwenye VIWANDA vyao. Kwa hiyo hatuna haja ya kuwapigia magoti wahuni na mawakala zao. Wahindi wachache na Waarabu wachache wafuate SHERIA za Kodi na wakae Kwa kufuata SHERIA na sio Kwa rushwa na janjajanja kwenye nchi yetu.
Wakati mnadidimizwa(?)mlishikiwa bongo zenu?Acha utetezi wa kiboya kama umetoka kuoga mchambawima!Nyie msio tegemezi mliifanyia nn iringa mjn hebu ainisha hapa kitu Cha mhm mlichokifanya kwa miaka 10 yote, pomole nyie mmetuddimiza Sana mmefanya iringa ionekane Kama mj mkongwe
Umejiandaa kubisha?Mbona unakuwa mkali....andika tu kuwa jamaa yenu alifanya hiki na hiki mm nakwambia hakufanya kitu
Kwani ulilazimishwa kuzungusha kiuno(mikono)?Unachosha na maelezo yako yasiyo na uelekeo.Na uhakika Hakuna kitu chamaana alichokifanya zaidi ya kuzunguzisha wananchi mikono tu
Unasema hela tulizopewa na Sabodo? Au zile hela za join the chain...kwani line mliyokuwa mnakusanyia hela za join the chain si uliniambia mmepoteza? Mmeshaipata?Kwani ulilazimishwa kuzungusha kiuno(mikono)?Unachosha na maelezo yako yasiyo na uelekeo.
NB:Leo mmegawiwa maziwa na kupewa sadaka(@ Tsh.1000 )kutoka kwake?
Za Sabodo zilikuwa marundo.ASAS huwa anawasaidia bukubuku kila ijumaa.Leo mmepewa?Unasema hela tulizopewa na Sabodo? Au zile hela za join the chain...kwani line mliyokuwa mnakusanyia hela za join the chain si uliniambia mmepoteza? Mmeshaipata?
Acha kujipendekeza na kuwapangia wengine na wenyewe !ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, PEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
NB: HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI YASITAFSIRIWE VINGINEVYO
Kwahyo kutoa maoni yangu nikujipendekeza syo? Kwahyo nyny mnashindwa kuomba mapato na matumizi ya join the chain, za Sabodo na hela za ruzuku kwa kuogopa kujipendekeza...chadema bwana mbona mpo waruwaru Sana kwenye fkra ... badilisheni katiba ya chama chenu pale kwenye ukomo wa madaraka labda mtabadilikaAcha kujipendekeza na kuwapangia wengine na wenyewe !
Hujui chopa imeboreshwa kuna hadi maliwato?Wewe kula mifudu tu.Naona sahz mnazunguka na chopa tu😄😄....mnaogopa kukaa ofsni msije mkadondokewa na hema lenu, hvi Ile choo mshakarabati.
Sijakuelewa mkuu,I tried to read for meaning sielewi kabisaSasa acha kumdhania mtu wakati huna ushahidi wowote, ALEYOMBA GEKKE, acha kudhania.
Ila nyie jamaa nyinyi kipindi kile mnazungushwa mikono huku wabunge wenu wanapitisha kilambo Cha michango...hvi zile hela mlipelekaga wapi mmetoka bungeni mmekula posho kangi mkusa mwanuke nalipesa ilyakitindi😄😄kweli wabunge masikini Ni janga kwa ss wananchi...Hujui chopa imeboreshwa kuna hadi maliwato?Wewe kula mifudu tu.
Umeona waliotoa wamelalamika?Acha kipapi hicho!Ila nyie jamaa nyinyi kipindi kile mnazungushwa mikono huku wabunge wenu wanapitisha kilambo Cha michango...hvi zile hela mlipelekaga wapi mmetoka bungeni mmekula posho kangi mkusa mwanuke nalipesa ilyakitindi😄😄kweli wabunge masikini Ni janga kwa ss wananchi...
Sijakuelewa mkuu,I tried to read for meaning sielewi kabisa