Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Akipewa uraia na ubaguzi wake unaondoka automatically ?
Tukienda kwenye viwanda vyake kwenye managerial positions tutakuta rangi gani wengi?

Kwahiyo kama ni wengi ama wachache inakuhusu nini wewe! Kampuni ni yake halafu unampangia kuajiri, hivi watoto wako watajifunza nini kutoka kwa baba ilhali upo hivyo!!
 
Ila umeelewa

Hawa ndio wanaifanya jamiiforum ionekane haifai, mtandao wa majungu, wivu, chuki na roho mbaya wakati wengi wao humu hawana hiyo tabia . Maxence melo anapaswa kuliangalia sana hili otherwise itageuka kuwa instagram na Facebook
 
UJINGA ni mtaji mkubwa wa watawala, Asas ni businessman sio politicians,...unajua wewe utajiri wake huu umetokana na nini?,Songea kule hawa jamaa wameua tembo wetu wengi tu,na sasa wanakuwa rewarded na vyeo hivi ili wajifiche zaidi, it's craze

Mkuu njoo story zaidi juu ya hii ishu
 
Wewe ndio umejawa na chuki mana huwathamini waafrika wenzako.
Kwa hizo unaona ni sawa hata jambazi likiua ndugu yako na kupora fedha Kisha likatajirika ndio tulipongeze Badala ya kufanya mbinu ya kulikamata na kuliua jambazi. Mnahamasisha uhalifu na wizi wa Mali za umma badala ya kuhamasisha uadilifu.

Na mkiendelea kukumbatia wezi mjue mgomo mkubwa utakuja na wahuni hawana hasara mana wao Wana magunia ya pesa wanazogawana .

Hii nchi huijui na wahuni hujui wanavyoliumiza Taifa. Hakuna mtu anategemea kupewa chakula na mhindi au mwarabu bila kazi ya kitumwa kwenye VIWANDA vyao. Kwa hiyo hatuna haja ya kuwapigia magoti wahuni na mawakala zao. Wahindi wachache na Waarabu wachache wafuate SHERIA za Kodi na wakae Kwa kufuata SHERIA na sio Kwa rushwa na janjajanja kwenye nchi yetu.

Pole sana, haya tuambie yamekukuta wapi na kiwanda kipi hapa nchini!! Au kazi za ndani/houseboy!!! Haya tueleze ulichokutananacho ila usisahau ka ushahidi tukajionea wote humu
 
Nyie msio tegemezi mliifanyia nn iringa mjn hebu ainisha hapa kitu Cha mhm mlichokifanya kwa miaka 10 yote, pomole nyie mmetuddimiza Sana mmefanya iringa ionekane Kama mj mkongwe
Wakati mnadidimizwa(?)mlishikiwa bongo zenu?Acha utetezi wa kiboya kama umetoka kuoga mchambawima!
 
Na uhakika Hakuna kitu chamaana alichokifanya zaidi ya kuzunguzisha wananchi mikono tu
Kwani ulilazimishwa kuzungusha kiuno(mikono)?Unachosha na maelezo yako yasiyo na uelekeo.
NB:Leo mmegawiwa maziwa na kupewa sadaka(@ Tsh.1000 )kutoka kwake?
 
Kwani ulilazimishwa kuzungusha kiuno(mikono)?Unachosha na maelezo yako yasiyo na uelekeo.
NB:Leo mmegawiwa maziwa na kupewa sadaka(@ Tsh.1000 )kutoka kwake?
Unasema hela tulizopewa na Sabodo? Au zile hela za join the chain...kwani line mliyokuwa mnakusanyia hela za join the chain si uliniambia mmepoteza? Mmeshaipata?
 
Unasema hela tulizopewa na Sabodo? Au zile hela za join the chain...kwani line mliyokuwa mnakusanyia hela za join the chain si uliniambia mmepoteza? Mmeshaipata?
Za Sabodo zilikuwa marundo.ASAS huwa anawasaidia bukubuku kila ijumaa.Leo mmepewa?
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, PEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
NB: HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI YASITAFSIRIWE VINGINEVYO
Acha kujipendekeza na kuwapangia wengine na wenyewe !
 
Acha kujipendekeza na kuwapangia wengine na wenyewe !
Kwahyo kutoa maoni yangu nikujipendekeza syo? Kwahyo nyny mnashindwa kuomba mapato na matumizi ya join the chain, za Sabodo na hela za ruzuku kwa kuogopa kujipendekeza...chadema bwana mbona mpo waruwaru Sana kwenye fkra ... badilisheni katiba ya chama chenu pale kwenye ukomo wa madaraka labda mtabadilika
 
Hujui chopa imeboreshwa kuna hadi maliwato?Wewe kula mifudu tu.
Ila nyie jamaa nyinyi kipindi kile mnazungushwa mikono huku wabunge wenu wanapitisha kilambo Cha michango...hvi zile hela mlipelekaga wapi mmetoka bungeni mmekula posho kangi mkusa mwanuke nalipesa ilyakitindi😄😄kweli wabunge masikini Ni janga kwa ss wananchi...
 
Umeona waliotoa wamelalamika?Acha kipapi hicho!
 
Back
Top Bottom